Mizimu ilimsanua kitambo 😂🤣Nyie mnadhani kwanini mzee wa Kibaha Mshana Jr alibadili gia angani na kuanza kufungua mada za mapambo ya nyumba?
Shida yake ni kukubali kufanyakazi na shetani.Hanaga shida kabisa max
Mshana ukiwa kilingeni hapo Msata, ukisikia hodi chungulia ramli kabisa, ujue ni nani kabla ya kufungua mlango,🙏🏿🙏🏿🙏🏿 pamoja nawe
Nilisikia USAServa iko wapi
Ila max alisimama na jf kipindi kile, mi naona si vema kumlaumu...... Aliweka knde rehani kutetea wanachama.Max hakujuwa kwamba shetani hana rafiki.
Max aliaccept kufanyakazi na serikali ya Ccm huku akiwa amesahau wao ndio walimweka jela gereza la keko kwa hila na kumnyima dhamana.
Novena ya Kanisa Katoliki inaleta majibu kwa haraka.
Menemene tekeri na Peresi.
kutoa mawazo tofauti sio uhalifu ila kujaribu kuyazuia ndio uhalifuInaonekana unajua kujilinda vizuri huku mitandaoni ila take care coz burner or throwaway email haiko salama kwa asilimia zote and ukiachana na hiyo pia huwa kuna makosa mengi ya kibinadamu unaweza ukayafanya na yakakuacha uchi kwamfano sidhani kama everyday huwa unaingia huku kwa VPN, lakini pia taarifa zako za kulog zinakuacha uchi Kila wakati, lakini tukiachana na IP address pattern recognition inaweza kutumika kujia taarifa zako zinajirudia rudia kutokea eneo gani hasa.
All in all ukiwa umeingia humu kwa mentality ya kiharifu unaweza ukajitahidi kujilinda ikawa ngumu kupatikana mapema ila lazima utapatikana but walio wengi humu wako uchi, ni hayo majina fake tu ndio yanawadanganya wajione wako salama😅😅
kacharukaAbdul bhana
Ni lini Max amemdharau mtu humu?Huyo mmiliki wa jf max some time huwa ni kiburi sana ana dharau sana member wa JF
Anajikuta anatumiliki wote. Yana muda. Alikuwepo na Mabutu sseseseko kuku ngwendu wa zebanga. Yuko wapi?Abdul bhana
Mimi wa Kabale mkuuKwani Mrs Byesige siyo muhaya?
Shemela, naona umeanza kurudisha adabu zako..!! Hasa baada ya kuchongewa kwa ActiveHanaga shida kabisa max
Ni kama mbwa kichaa kakata kamba ang’ata hadi anaempa chakula, wanamtandao wakiamua lao hata waambiwe huyo ndo Mungu mwenyewe wataenda mla kichwa tu!Moja ya watu wanaotazamwa kwa karibu sana kimataifa ni huyo bwana melo. Sasa wana mtandao wakijichanganya hapo wataona kitakachotokea.
Kulikuwa na watoto wa Saddam Hussein Uday na Qusay.Abdul bhana
wanawake wasikie tu,bora sie akina PutinNasikitika sana kuona haya yanatokea chini ya kiongozi Mwanamke!
Uzuri ni kuwa sipatikaniUtaeleza mbele ya safari😂
Poa tusepe zetu!🤣🤣 fanya haraka aunt
Hakuna sehemu namlaumu Max, elewa nilichoandika.Ila max alisimama na jf kipindi kile, mi naona si vema kumlaumu...... Aliweka knde rehani kutetea wanachama.