Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Shehena ya silaha bandarini iliyopitishwa kinyume na taratibu asemavyo mange kimambi!

Naona "KAZI na utu,tunasonga mbele" naona tunatekeleza kwa kishindo!

Mungu ibariki Tanzania!
 
App kama hizi watu wanatumia throwaway au burner email. sasa wewe unatumiaje email ambayo ume verify? huo ni uzembe ukamatwe tu
Inaonekana unajua kujilinda vizuri huku mitandaoni ila take care coz burner or throwaway email haiko salama kwa asilimia zote and ukiachana na hiyo pia huwa kuna makosa mengi ya kibinadamu unaweza ukayafanya na yakakuacha uchi kwamfano sidhani kama everyday huwa unaingia huku kwa VPN, lakini pia taarifa zako za kulog zinakuacha uchi Kila wakati, lakini tukiachana na IP address pattern recognition inaweza kutumika kujia taarifa zako zinajirudia rudia kutokea eneo gani hasa.

All in all ukiwa umeingia humu kwa mentality ya kiharifu unaweza ukajitahidi kujilinda ikawa ngumu kupatikana mapema ila lazima utapatikana but walio wengi humu wako uchi, ni hayo majina fake tu ndio yanawadanganya wajione wako salama😅😅
 
Naona hata imeanza ku respond taratibu sana

Anyway death to all infidels ...Please God of Light kill them all...

Nachojua Melo ni calculative intelligent man, hivyo naamin anajua fika.kua hili lingetokea au mambo ya namna hii kwa nchi za kiafrika kutokea ni dakika sifuri, hivyo naamin alishajiandaa na anajua procedures za kufuata ...hawez tu kua alikalisha mapumbu kuwasubiri infidels lazima alikua prepared...

New Tanzania will be born soon. Wana maombi tuendelee kuomba ...kiti Cha mungu wa giza kinatikiswa...tunataka kipasuke kabisa Mungu wa Nuru aingie kuisimika ufalme wake na kumuweka mtu wake aiendeshe Tanzania ilyo njema na isiyo na viongozi wanywa damu za watu...
 
Ndio safi hivi.

Hv, hao wavamizi wanaweza wakawa wanahitaji taarifa gani toka kwa kaka Max🤔?
Max hakujuwa kwamba shetani hana rafiki.
Max aliaccept kufanyakazi na serikali ya Ccm huku akiwa amesahau wao ndio walimweka jela gereza la keko kwa hila na kumnyima dhamana.

Novena ya Kanisa Katoliki inaleta majibu kwa haraka.

Menemene tekeri na Peresi.
 
Back
Top Bottom