Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Kuna kitu cha msingi watu wanaki-overlook kwenye swala hili zito kuhsiana na wasifu wa watu wanapokuwa wametangulia mbele ya haki.Hakuna marehemu mbaya
Mshana Jr.!
Naturally Mungu alimuumba binadamu ili atende yale ambayo ni mema tu isispokuwa kwa bahati mbaya sana, ilitokea binadamu mwenyewe akawa ametengeneza mwenyewe loophole iliyopelekea atende mabaya pia.
Kwa hiyo Mungu alimuumba mwanadamu ili atende mema tu; na hivyo pale inapotokea mwanadamu huyo ametangulia mbele ya haki; tunakuwa na haki ya kusema yale tu ambayo kwayo Mungu alikusudia mwanadamu ayatende tangu uumbaji
Kwa yale ambayo ni mabaya, binadamu anayatenda kwa bahati mbaya na hayamo kwenye kusudi lile ambalo lilipelekea Mungu akamuumba mwanadamu
Kwa hiyo inapotoea mwanadamu ametangulia mbele ya haki, tuna haki ya kuyasema yale tu ambayo Mungu alikusudia mwanadamu ayatende na si vinginevyo