Kb Ulayaulaya
JF-Expert Member
- Jan 5, 2023
- 727
- 1,059
Kwahiyo Wewe unamjua Tundu Antipas Lisu kuliko Rais Samia aliyemtembelea Nairobi na Ubelgiji?!Alieleweka vipi kwa CHADEMA na akina Lissu ? Mbona waliendelea kumshambulia kwa mashambulizi yenye matusi ndani yake?
Siyo tu hak ya kutoamini bro , Wa-Tanganyika "hawamwamini na hawatakaa wamwamini na kaulizake, Walisema wameongea na jiwe yupo fiti kumbe mtu yupo kwenye friji mochwari.View attachment 2840103
Akizungumza East Africa Radio asubuhi hii, Disemba 12, 2023, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo
Weka ushahidiMax alichosema ndicho nimetoka kumueleza mtu mmoja a few minutes ago kwenye uzi mwingine hapa JF.
Si tu kwenye matukio muhimu yanayohusisha viongozi wa kitaifa taarifa sahihi zinapaswa kutolewa. bali Kama kuna uzushi taarifa sahihi zitolewe kuondo uzushi huo maana kukaa kimya huendeleza kusambaa kwa uzushi.View attachment 2840103
Akizungumza East Africa Radio asubuhi hii, Disemba 12, 2023, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema Haki za wananchi zinazopatikana nje ya mtandao zinapaswa kutolewa pia ndani ya mtandao kwa kuwa ni haki za msingi zinazogusa maisha ya watu.
Kuhusu kutokutolewa kwa taarifa za alipokuwa Makamu wa Rais Dkt. Mpango, Melo amesema Makamu wa Rais ni kiongozi wa umma, analipwa kwa pesa za umma. Hata kama alienda kwa kazi maalum ni lazima wananchi waambiwe kwa kuwa analipwa kwa kodi zao. Hata kama hawatasema kaenda kufanya kazi gani lakini wananchi wanapaswa kujua kaenda wapi, kwa siku ngapi.
Akitoa maoni yake kuhusu hatua ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye kuwashughulikia waliotoa Taarifa za uzushi kuhusu kifo cha Makamu wa Rais, Melo amesema "Nimesikia Waziri atachukua hatua, ni sawa. Lakini wewe pia ukiguswa sheria hii ichukue mkondo wake, isionekane ipo kwa ajili ya kulinda viongozi pekee. Kuna ushahidi wa matukio mengi yametokea kwa wananchi na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa"
Ameongeza "Sheria ya Makosa ya Mtandao (Kifungu cha 16) inasema anayetoa taarifa za uongo kwa makusudi atashughulikiwa. Kazi ipo kwenye kuprove kama mtu alifanya kwa kusudi, lakini sheria hizi hazitumiki zikivunjwa kwa wananchi wa kawaida lakini zikivunjwa kwa viongozi ndio zinafanya kazi. Kuna "impunity"
Katika hatua nyingine, amebainisha kuwa kwenye matukio muhimu yanayohusisha viongozi wa kitaifa taarifa sahihi zinapaswa kutolewa. Kama kuna uzushi taarifa sahihi zitolewe kuondo uzushi huo maana kukaa kimya huendeleza kusambaa kwa uzushi.
Melo aliulizwa pia ni kwa nini habari za uzushi kuhusu afya ya Makamu wa Rais ziliendelea kusambaa hata baada ya Waziri Mkuu kutoa taarifa. Alisema watanzania wana haki ya kutokumwamini Waziri Mkuu, yaliwahi kutokea enzi za Uongozi wa Hayati Magufuli, mazingira ya wakati huo na sasa kwa kiasi fulani yalikuwa yanafanana.
Acha uongo wewe. Thibitisha kama umekisema hiko.Max alichosema ndicho nimetoka kumueleza mtu mmoja a few minutes ago kwenye uzi mwingine hapa JF.
Sijui Nape anamlenga kiongozi gani huyo wa kumchukulia Hata kwa uzushi.Hakunaga kitu kibaya hapa duniani kama Kutoaminika
Watu wanampenda Tundu Antipas Lisu kwa sababu anaamika, hilo tu!
Siyo kila kitu cha kusemwa hadharani nyie mabwegeView attachment 2840103
Akizungumza East Africa Radio asubuhi hii, Disemba 12, 2023, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema Haki za wananchi zinazopatikana nje ya mtandao zinapaswa kutolewa pia ndani ya mtandao kwa kuwa ni haki za msingi zinazogusa maisha ya watu.
Kuhusu kutokutolewa kwa taarifa za alipokuwa Makamu wa Rais Dkt. Mpango, Melo amesema Makamu wa Rais ni kiongozi wa umma, analipwa kwa pesa za umma. Hata kama alienda kwa kazi maalum ni lazima wananchi waambiwe kwa kuwa analipwa kwa kodi zao. Hata kama hawatasema kaenda kufanya kazi gani lakini wananchi wanapaswa kujua kaenda wapi, kwa siku ngapi.
Akitoa maoni yake kuhusu hatua ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye kuwashughulikia waliotoa Taarifa za uzushi kuhusu kifo cha Makamu wa Rais, Melo amesema "Nimesikia Waziri atachukua hatua, ni sawa. Lakini wewe pia ukiguswa sheria hii ichukue mkondo wake, isionekane ipo kwa ajili ya kulinda viongozi pekee. Kuna ushahidi wa matukio mengi yametokea kwa wananchi na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa"
Ameongeza "Sheria ya Makosa ya Mtandao (Kifungu cha 16) inasema anayetoa taarifa za uongo kwa makusudi atashughulikiwa. Kazi ipo kwenye kuprove kama mtu alifanya kwa kusudi, lakini sheria hizi hazitumiki zikivunjwa kwa wananchi wa kawaida lakini zikivunjwa kwa viongozi ndio zinafanya kazi. Kuna "impunity"
Katika hatua nyingine, amebainisha kuwa kwenye matukio muhimu yanayohusisha viongozi wa kitaifa taarifa sahihi zinapaswa kutolewa. Kama kuna uzushi taarifa sahihi zitolewe kuondo uzushi huo maana kukaa kimya huendeleza kusambaa kwa uzushi.
Melo aliulizwa pia ni kwa nini habari za uzushi kuhusu afya ya Makamu wa Rais ziliendelea kusambaa hata baada ya Waziri Mkuu kutoa taarifa. Alisema watanzania wana haki ya kutokumwamini Waziri Mkuu, yaliwahi kutokea enzi za Uongozi wa Hayati Magufuli, mazingira ya wakati huo na sasa kwa kiasi fulani yalikuwa yanafanana.
Nyau mdg huyo wamtafutie niniMaxence Melo Mungu akutunze, najua hao uliowagusa huko waliko wanatafuta simu yako wakutishie, wakafie mbele hao waovu
Alichoongea ndio Ukweli wenyewe, tena ameongea kuhusu fikra na mitazamo halisi waliyonayo watu wengi juu ya Serikali ya nchi hii.View attachment 2840103
Akizungumza East Africa Radio asubuhi hii, Disemba 12, 2023, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema Haki za wananchi zinazopatikana nje ya mtandao zinapaswa kutolewa pia ndani ya mtandao kwa kuwa ni haki za msingi zinazogusa maisha ya watu.
Kuhusu kutokutolewa kwa taarifa za alipokuwa Makamu wa Rais Dkt. Mpango, Melo amesema Makamu wa Rais ni kiongozi wa umma, analipwa kwa pesa za umma. Hata kama alienda kwa kazi maalum ni lazima wananchi waambiwe kwa kuwa analipwa kwa kodi zao. Hata kama hawatasema kaenda kufanya kazi gani lakini wananchi wanapaswa kujua kaenda wapi, kwa siku ngapi.
Akitoa maoni yake kuhusu hatua ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye kuwashughulikia waliotoa Taarifa za uzushi kuhusu kifo cha Makamu wa Rais, Melo amesema "Nimesikia Waziri atachukua hatua, ni sawa. Lakini wewe pia ukiguswa sheria hii ichukue mkondo wake, isionekane ipo kwa ajili ya kulinda viongozi pekee. Kuna ushahidi wa matukio mengi yametokea kwa wananchi na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa"
Ameongeza "Sheria ya Makosa ya Mtandao (Kifungu cha 16) inasema anayetoa taarifa za uongo kwa makusudi atashughulikiwa. Kazi ipo kwenye kuprove kama mtu alifanya kwa kusudi, lakini sheria hizi hazitumiki zikivunjwa kwa wananchi wa kawaida lakini zikivunjwa kwa viongozi ndio zinafanya kazi. Kuna "impunity"
Katika hatua nyingine, amebainisha kuwa kwenye matukio muhimu yanayohusisha viongozi wa kitaifa taarifa sahihi zinapaswa kutolewa. Kama kuna uzushi taarifa sahihi zitolewe kuondo uzushi huo maana kukaa kimya huendeleza kusambaa kwa uzushi.
Melo aliulizwa pia ni kwa nini habari za uzushi kuhusu afya ya Makamu wa Rais ziliendelea kusambaa hata baada ya Waziri Mkuu kutoa taarifa. Alisema watanzania wana haki ya kutokumwamini Waziri Mkuu, yaliwahi kutokea enzi za Uongozi wa Hayati Magufuli, mazingira ya wakati huo na sasa kwa kiasi fulani yalikuwa yanafanana.
Nyau mdogo anayekufuga humu?πNyau mdg huyo wamtafutie nini
Sio kuaminika tu, bali yote anayoyasema huwa yanatokea kuwa kuwa kweli... akisema jambi tu, upande wa pili ni kama vile karusha jiwe ndani ya mzinga wa nyuki....Hakunaga kitu kibaya hapa duniani kama Kutoaminika
Watu wanampenda Tundu Antipas Lisu kwa sababu anaamika, hilo tu!
Kumtembelea haiondoi tabia yake Lissu ya asili ambayo ni ukurupukaji,uongo, unafiki,kupayuka,mihemuko,ukigeugeu,undumila kuwili,n.k. Rais samia alikwenda kumtembelea na siyo kubadilisha hulka yake.Kwahiyo Wewe unamjua Tundu Antipas Lisu kuliko Rais Samia aliyemtembelea Nairobi na Ubelgiji?!
ππππ
Imebidi kuangalia profile yako na mijadala ya awali ulipochangia, nimejifunza na kugundua kitu.Kumtembelea haiondoi tabia yake Lissu ya asili ambayo ni ukurupukaji,uongo, unafiki,kupayuka,mihemuko,ukigeugeu,undumila kuwili,n.k. Rais samia alikwenda kumtembelea na siyo kubadilisha hulka yake.
Maxence Melo, pongezi zikufikie popote ulipo Mkuu.View attachment 2840103
Akizungumza East Africa Radio asubuhi hii, Disemba 12, 2023, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema Haki za wananchi zinazopatikana nje ya mtandao zinapaswa kutolewa pia ndani ya mtandao kwa kuwa ni haki za msingi zinazogusa maisha ya watu.
Kuhusu kutokutolewa kwa taarifa za alipokuwa Makamu wa Rais Dkt. Mpango, Melo amesema Makamu wa Rais ni kiongozi wa umma, analipwa kwa pesa za umma. Hata kama alienda kwa kazi maalum ni lazima wananchi waambiwe kwa kuwa analipwa kwa kodi zao. Hata kama hawatasema kaenda kufanya kazi gani lakini wananchi wanapaswa kujua kaenda wapi, kwa siku ngapi.
Akitoa maoni yake kuhusu hatua ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye kuwashughulikia waliotoa Taarifa za uzushi kuhusu kifo cha Makamu wa Rais, Melo amesema "Nimesikia Waziri atachukua hatua, ni sawa. Lakini wewe pia ukiguswa sheria hii ichukue mkondo wake, isionekane ipo kwa ajili ya kulinda viongozi pekee. Kuna ushahidi wa matukio mengi yametokea kwa wananchi na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa"
Ameongeza "Sheria ya Makosa ya Mtandao (Kifungu cha 16) inasema anayetoa taarifa za uongo kwa makusudi atashughulikiwa. Kazi ipo kwenye kuprove kama mtu alifanya kwa kusudi, lakini sheria hizi hazitumiki zikivunjwa kwa wananchi wa kawaida lakini zikivunjwa kwa viongozi ndio zinafanya kazi. Kuna "impunity"
Katika hatua nyingine, amebainisha kuwa kwenye matukio muhimu yanayohusisha viongozi wa kitaifa taarifa sahihi zinapaswa kutolewa. Kama kuna uzushi taarifa sahihi zitolewe kuondo uzushi huo maana kukaa kimya huendeleza kusambaa kwa uzushi.
Melo aliulizwa pia ni kwa nini habari za uzushi kuhusu afya ya Makamu wa Rais ziliendelea kusambaa hata baada ya Waziri Mkuu kutoa taarifa. Alisema watanzania wana haki ya kutokumwamini Waziri Mkuu, yaliwahi kutokea enzi za Uongozi wa Hayati Magufuli, mazingira ya wakati huo na sasa kwa kiasi fulani yalikuwa yanafanana.
Ugonjwa wa mtu ni Siri kati ya Daktari na mgonjwa sio tangazo la biasharaTumwanini vipi PM na alishawahi kutudanganya kuhusu marehemu Magufuri?! Mazingira yanafanana na yaliyotokea juu ya VP.
Wewe mwenyewe umekuja duniani kupitia njia ya haja kubwa ndiyo maana hujitambui bwege mtozeni wewe.Sema unampenda wewe lakini mimi namuona Lissu kama mbabaishaji,mnafiki,ndumila kuwili ,muongo,msaliti,mwenye mihemuko,mkurupukaji ,asiye na adabu wala staha wala hekima wala chujio la ulimi wake na mengine mengi tu. Unakumbuka namna Lissu alivyokuwa akimtukana mh Lowassa kwa miaka nane mfululizo? Vipi ilipofika 2015? Lissu alisema nini tena kuhusu huyo huyo mh Lowassa? Sasa unaanzia wapi kumpenda au kumuamini mtu kama Lissu?
Mimi namuona Lissu kama mtu asiye faa kuongoza watu wenye akili Timamu na wanaojitambua.saiz yake ni huko huko CHADEMA wanakofanana akili na kuwa nawatu wengi dizaini ya akina Mdude Nyagali watukanaji na wanuka matusi Utafikiri wameopolewa kwenye shimo la choo.