Maxence Melo: Watanzania wana haki ya kutokuamini taarifa iliyotolewa na Waziri Mkuu kuhusu alipokuwa Makamu wa Rais

Mh,ukisikia mtu mzima kivuliwa underware ndo hii😄😄😄.
Wanafutuka mitumbo,wakati kichwani ni MAVI matupu.
Mambo yao yananuka uozo mpaka nzi wa KIJANI anaogopa kutua juu.
Kila siku nasema,viongozi wengi WA CCM ni hopless.
Eti tuna waziri WA habari😠😠😠.
Ale CHUMA hicho,kutoka kwa Akili kubwa sitaki kazi.

Basi tu,huyo bwege ilitakiwa mpaka mda huu awe amejiuzuri.
Ila majinga hayaoni tatizo Wala!.
 
View attachment 2840103

Akizungumza East Africa Radio asubuhi hii, Disemba 12, 2023, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo
Siyo tu hak ya kutoamini bro , Wa-Tanganyika "hawamwamini na hawatakaa wamwamini na kaulizake, Walisema wameongea na jiwe yupo fiti kumbe mtu yupo kwenye friji mochwari.

Wakatwambia umeme hakuna kwakuwa wachina wanachepusha maji ya umwagiliaji sasa wachina wamevunjiwa mashamba ila hamna umeme;

Waka sema umeme hamna kwakuwa maji yamekataa kuingian kwenye mabwawa, sasa mafuriko nchi nzima ila mhgao pale pale.
 
View attachment 2840103

Akizungumza East Africa Radio asubuhi hii, Disemba 12, 2023, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema Haki za wananchi zinazopatikana nje ya mtandao zinapaswa kutolewa pia ndani ya mtandao kwa kuwa ni haki za msingi zinazogusa maisha ya watu.

Kuhusu kutokutolewa kwa taarifa za alipokuwa Makamu wa Rais Dkt. Mpango, Melo amesema Makamu wa Rais ni kiongozi wa umma, analipwa kwa pesa za umma. Hata kama alienda kwa kazi maalum ni lazima wananchi waambiwe kwa kuwa analipwa kwa kodi zao. Hata kama hawatasema kaenda kufanya kazi gani lakini wananchi wanapaswa kujua kaenda wapi, kwa siku ngapi.

Akitoa maoni yake kuhusu hatua ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye kuwashughulikia waliotoa Taarifa za uzushi kuhusu kifo cha Makamu wa Rais, Melo amesema "Nimesikia Waziri atachukua hatua, ni sawa. Lakini wewe pia ukiguswa sheria hii ichukue mkondo wake, isionekane ipo kwa ajili ya kulinda viongozi pekee. Kuna ushahidi wa matukio mengi yametokea kwa wananchi na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa"

Ameongeza "Sheria ya Makosa ya Mtandao (Kifungu cha 16) inasema anayetoa taarifa za uongo kwa makusudi atashughulikiwa. Kazi ipo kwenye kuprove kama mtu alifanya kwa kusudi, lakini sheria hizi hazitumiki zikivunjwa kwa wananchi wa kawaida lakini zikivunjwa kwa viongozi ndio zinafanya kazi. Kuna "impunity"

Katika hatua nyingine, amebainisha kuwa kwenye matukio muhimu yanayohusisha viongozi wa kitaifa taarifa sahihi zinapaswa kutolewa. Kama kuna uzushi taarifa sahihi zitolewe kuondo uzushi huo maana kukaa kimya huendeleza kusambaa kwa uzushi.

Melo aliulizwa pia ni kwa nini habari za uzushi kuhusu afya ya Makamu wa Rais ziliendelea kusambaa hata baada ya Waziri Mkuu kutoa taarifa. Alisema watanzania wana haki ya kutokumwamini Waziri Mkuu, yaliwahi kutokea enzi za Uongozi wa Hayati Magufuli, mazingira ya wakati huo na sasa kwa kiasi fulani yalikuwa yanafanana.
Si tu kwenye matukio muhimu yanayohusisha viongozi wa kitaifa taarifa sahihi zinapaswa kutolewa. bali Kama kuna uzushi taarifa sahihi zitolewe kuondo uzushi huo maana kukaa kimya huendeleza kusambaa kwa uzushi.
Na ni kabla ya kusafiri tulipaswa kujuzwa makamo ni mgonjwa, dalili zake, kinga na sababu ya ugonjwa na tuambiwa anapopelkwa, hii nchi tunaisho kama washirikina.
 
Hakunaga kitu kibaya hapa duniani kama Kutoaminika

Watu wanampenda Tundu Antipas Lisu kwa sababu anaamika, hilo tu!
Sijui Nape anamlenga kiongozi gani huyo wa kumchukulia Hata kwa uzushi.

Kwa sbb kama ni huyu Tundu Lissu wala hawezi kumpata kwa sheria yoyote Ile.

Na Tundu Lissu wala hakutoa taarifa yoyote ya uzushi isipokuwa naye alikuwa curious kuhoji tu ili waseme VP aliko na anafanya nini.

Alisema, kifo au ugonjwa haufichiki. Waseme vyovyote awe anaumwa au amekufa. Lakini serikali haikusema lolote na badala ghafla VP anaibuka kusikojukikana anaanza kulaumu na kushutumu watu kwa kumzushia kifo kwa kosa la watu wake mwenyewe na serikali yao.
 
View attachment 2840103

Akizungumza East Africa Radio asubuhi hii, Disemba 12, 2023, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema Haki za wananchi zinazopatikana nje ya mtandao zinapaswa kutolewa pia ndani ya mtandao kwa kuwa ni haki za msingi zinazogusa maisha ya watu.

Kuhusu kutokutolewa kwa taarifa za alipokuwa Makamu wa Rais Dkt. Mpango, Melo amesema Makamu wa Rais ni kiongozi wa umma, analipwa kwa pesa za umma. Hata kama alienda kwa kazi maalum ni lazima wananchi waambiwe kwa kuwa analipwa kwa kodi zao. Hata kama hawatasema kaenda kufanya kazi gani lakini wananchi wanapaswa kujua kaenda wapi, kwa siku ngapi.

Akitoa maoni yake kuhusu hatua ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye kuwashughulikia waliotoa Taarifa za uzushi kuhusu kifo cha Makamu wa Rais, Melo amesema "Nimesikia Waziri atachukua hatua, ni sawa. Lakini wewe pia ukiguswa sheria hii ichukue mkondo wake, isionekane ipo kwa ajili ya kulinda viongozi pekee. Kuna ushahidi wa matukio mengi yametokea kwa wananchi na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa"

Ameongeza "Sheria ya Makosa ya Mtandao (Kifungu cha 16) inasema anayetoa taarifa za uongo kwa makusudi atashughulikiwa. Kazi ipo kwenye kuprove kama mtu alifanya kwa kusudi, lakini sheria hizi hazitumiki zikivunjwa kwa wananchi wa kawaida lakini zikivunjwa kwa viongozi ndio zinafanya kazi. Kuna "impunity"

Katika hatua nyingine, amebainisha kuwa kwenye matukio muhimu yanayohusisha viongozi wa kitaifa taarifa sahihi zinapaswa kutolewa. Kama kuna uzushi taarifa sahihi zitolewe kuondo uzushi huo maana kukaa kimya huendeleza kusambaa kwa uzushi.

Melo aliulizwa pia ni kwa nini habari za uzushi kuhusu afya ya Makamu wa Rais ziliendelea kusambaa hata baada ya Waziri Mkuu kutoa taarifa. Alisema watanzania wana haki ya kutokumwamini Waziri Mkuu, yaliwahi kutokea enzi za Uongozi wa Hayati Magufuli, mazingira ya wakati huo na sasa kwa kiasi fulani yalikuwa yanafanana.
Siyo kila kitu cha kusemwa hadharani nyie mabwege
 
Alichoongea ndio Ukweli wenyewe, tena ameongea kuhusu fikra na mitazamo halisi waliyonayo watu wengi juu ya Serikali ya nchi hii.
 
Hakunaga kitu kibaya hapa duniani kama Kutoaminika

Watu wanampenda Tundu Antipas Lisu kwa sababu anaamika, hilo tu!
Sio kuaminika tu, bali yote anayoyasema huwa yanatokea kuwa kuwa kweli... akisema jambi tu, upande wa pili ni kama vile karusha jiwe ndani ya mzinga wa nyuki....
 
Kwahiyo Wewe unamjua Tundu Antipas Lisu kuliko Rais Samia aliyemtembelea Nairobi na Ubelgiji?!

😂😂😂😂
Kumtembelea haiondoi tabia yake Lissu ya asili ambayo ni ukurupukaji,uongo, unafiki,kupayuka,mihemuko,ukigeugeu,undumila kuwili,n.k. Rais samia alikwenda kumtembelea na siyo kubadilisha hulka yake.
 
Imebidi kuangalia profile yako na mijadala ya awali ulipochangia, nimejifunza na kugundua kitu.
Ni vijana wa uzazi wa mpango, ni kijana wa MEMKWA.
NI kijana wa Artificial insermination.
Ni kijana unayeishi kwa kutegemea kudra za Chama badala kujisimamia.
umejikataa na kuamini bila kuwa mtwana huwezi ishi.
Kijana uliyekosa malezi na hujui ku-urge!
 
View attachment 2840103

Akizungumza East Africa Radio asubuhi hii, Disemba 12, 2023, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema Haki za wananchi zinazopatikana nje ya mtandao zinapaswa kutolewa pia ndani ya mtandao kwa kuwa ni haki za msingi zinazogusa maisha ya watu.

Kuhusu kutokutolewa kwa taarifa za alipokuwa Makamu wa Rais Dkt. Mpango, Melo amesema Makamu wa Rais ni kiongozi wa umma, analipwa kwa pesa za umma. Hata kama alienda kwa kazi maalum ni lazima wananchi waambiwe kwa kuwa analipwa kwa kodi zao. Hata kama hawatasema kaenda kufanya kazi gani lakini wananchi wanapaswa kujua kaenda wapi, kwa siku ngapi.

Akitoa maoni yake kuhusu hatua ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye kuwashughulikia waliotoa Taarifa za uzushi kuhusu kifo cha Makamu wa Rais, Melo amesema "Nimesikia Waziri atachukua hatua, ni sawa. Lakini wewe pia ukiguswa sheria hii ichukue mkondo wake, isionekane ipo kwa ajili ya kulinda viongozi pekee. Kuna ushahidi wa matukio mengi yametokea kwa wananchi na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa"

Ameongeza "Sheria ya Makosa ya Mtandao (Kifungu cha 16) inasema anayetoa taarifa za uongo kwa makusudi atashughulikiwa. Kazi ipo kwenye kuprove kama mtu alifanya kwa kusudi, lakini sheria hizi hazitumiki zikivunjwa kwa wananchi wa kawaida lakini zikivunjwa kwa viongozi ndio zinafanya kazi. Kuna "impunity"

Katika hatua nyingine, amebainisha kuwa kwenye matukio muhimu yanayohusisha viongozi wa kitaifa taarifa sahihi zinapaswa kutolewa. Kama kuna uzushi taarifa sahihi zitolewe kuondo uzushi huo maana kukaa kimya huendeleza kusambaa kwa uzushi.

Melo aliulizwa pia ni kwa nini habari za uzushi kuhusu afya ya Makamu wa Rais ziliendelea kusambaa hata baada ya Waziri Mkuu kutoa taarifa. Alisema watanzania wana haki ya kutokumwamini Waziri Mkuu, yaliwahi kutokea enzi za Uongozi wa Hayati Magufuli, mazingira ya wakati huo na sasa kwa kiasi fulani yalikuwa yanafanana.
Maxence Melo, pongezi zikufikie popote ulipo Mkuu.
 
Tumwanini vipi PM na alishawahi kutudanganya kuhusu marehemu Magufuri?! Mazingira yanafanana na yaliyotokea juu ya VP.
Ugonjwa wa mtu ni Siri kati ya Daktari na mgonjwa sio tangazo la biashara

Mtu Baki awe Waziri mkuu au yeyote hawezi ibuka kuongelea ugonjwa wa Mtu au hata kutamka kuwa mgonjwa labda mwenyewe aseme mbele ya vyombo vya habari au atoke ruksa
 
Sema unampenda wewe lakini mimi namuona Lissu kama mbabaishaji,mnafiki,ndumila kuwili ,muongo,msaliti,mwenye mihemuko,mkurupukaji ,asiye na adabu wala staha wala hekima wala chujio la ulimi wake na mengine mengi tu. Unakumbuka namna Lissu alivyokuwa akimtukana mh Lowassa kwa miaka nane mfululizo? Vipi ilipofika 2015? Lissu alisema nini tena kuhusu huyo huyo mh Lowassa? Sasa unaanzia wapi kumpenda au kumuamini mtu kama Lissu?

Mimi namuona Lissu kama mtu asiye faa kuongoza watu wenye akili Timamu na wanaojitambua.saiz yake ni huko huko CHADEMA wanakofanana akili na kuwa nawatu wengi dizaini ya akina Mdude Nyagali watukanaji na wanuka matusi Utafikiri wameopolewa kwenye shimo la choo.
Wewe mwenyewe umekuja duniani kupitia njia ya haja kubwa ndiyo maana hujitambui bwege mtozeni wewe.
 
Back
Top Bottom