Nilivutiwa na huduma za maximalipo na kutokana na nature ya shughuli zangu nikanunua mashine yao.Kamisheni yao ni ndogo sana lakini hilo sio tatizo kubwa kwangu.
Shida ninayoiona sasa ni kuwa kuna karaha kubwa mno.Una salio la kutosha lakini inakuambia huduma haiwezekani "Insufficient funds"
Tumeona mabank yakifa,je na maximalipo wapo njia hiyo maana hata customer care na namba yao moja huwapati.