MaxiMalipo inakufa?

MaxiMalipo inakufa?

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,108
Reaction score
5,110
Nilivutiwa na huduma za maximalipo na kutokana na nature ya shughuli zangu nikanunua mashine yao.Kamisheni yao ni ndogo sana lakini hilo sio tatizo kubwa kwangu.

Shida ninayoiona sasa ni kuwa kuna karaha kubwa mno.Una salio la kutosha lakini inakuambia huduma haiwezekani "Insufficient funds"

Tumeona mabank yakifa,je na maximalipo wapo njia hiyo maana hata customer care na namba yao moja huwapati.
 
cellcom nayo vipi si chalii

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nilivutiwa na huduma za maximalipo na kutokana na nature ya shughuli zangu nikanunua mashine yao.Kamisheni yao ni ndogo sana lakini hilo sio tatizo kubwa kwangu.
Shida ninayoiona sasa ni kuwa kuna karaha kubwa mno.Una salio la kutosha lakini inakuambia huduma haiwezekani "Insufficient funds"
Tumeona mabank yakifa,je na maximalipo wapo njia hiyo maana hata customer care na namba yao moja huwapati.
Pole zilipoanza tu niliingiza hela ya kutosha
 
malipo mengi hayapiti maximaliop na tenda zote za serikali walizokuwa wanafanya maximalipo sasa hv zinafanywa na ttcl. but hiyo siyo kesi maximalipo wahamie kwenye sekta ya private or waje na new innovation ambayo serikali kwa vyovyote vile watawahitaji.
 
Nilivutiwa na huduma za maximalipo na kutokana na nature ya shughuli zangu nikanunua mashine yao.Kamisheni yao ni ndogo sana lakini hilo sio tatizo kubwa kwangu.
Shida ninayoiona sasa ni kuwa kuna karaha kubwa mno.Una salio la kutosha lakini inakuambia huduma haiwezekani "Insufficient funds"
Tumeona mabank yakifa,je na maximalipo wapo njia hiyo maana hata customer care na namba yao moja huwapati.
Hii insuficient Funds imenikuta sana na nahisi ni kampuni inaenda kutetereka na itakufa Lazima ninachodhani Account yao haina HELA ndo mana huduma inakua ivyo..yeye ni Middle man so ili kununua umeme au Maji n lazima uptie account yake kisha yeye akununulie akuletee..Inapotokea sasa Huyu Middle man Account haina hela Huduma hapo kupata sijuiii.

maxmalipo ishakufa hapa nilipo natafuta wakumzawadia hii mashine anirudishie Japo ka hela kangu maana imebaki kama pambo kuuzia Vocha za TTCL tu tena zangu mwenyewe.

Mashine ilikua na vifurushi vya Voda ila saivi hamna tena..Vocha kurusha Mtandao unasumbua ovyo ki ufupi hawa ndugu zetu Biashara waliipenda ila inaonyesha Biashara hii ishawashinda wanatafuta pakuangukia.

Naogopa kuweka Float hela nyingi maana naogopa siku Niamke mashine haiingiii kwenye Menu Kuu kama juzi Imenishindisha Siku nzima Naingiza Password ina load kisha inarudi pale pale Ilinpa mawazo nikasema hawa wanampango gani na hii hela yangu HUMU ndani..sema Nimekoma kwakweli nikiweka Float nyingi sana haizidi 50,000 sizidishi
 
Ni Somo Tosha kwa Mabwanyenye wa biashara,MaxMalipo wakati wapo kwenye peak walibweteka sana,walijifanya makonki,sasa wapo ICU wanapumulia mashine,liwe funzo kwa makampuni mengine.

Naombea TANESCO nayo ije kudondokea PUA.
 
Kwani mmiliki hasa wa Maxmalipo au mwenye hisa nyingi ni nani maana ngosha kwa yupo vizuri kwa kulipiza visasi
 
Hawa jamaa waliwika sana aisee.alichowatenda ngosha ni mwana ukome aisee.we will miss u max.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bure mnamlaumu ngosha! Ngosha ameondoa kona kona zilizokuwa zimewekwa pasipo umuhimu! Kampuni kama hii zilianzishwa na kupamba moto sana wakati wa utawala dhaifu wa Kikwete. Kipindi hicho nchi ilikuwa kwenye free gear kama gari linaloporomoka mlimani bila dereva. Ni ujanja wako tu fedha ya serikali ilikuwa nje nje. Kama kweli ni kampuni iliyokuwa na umuhimu kwanini sekta binafsi haiwatumii? Kuna makampuni mengi makubwa lakini hawaoni umuhimu wa kutumia huduma yao! Kampuni yao ilianzishwa specifically kwa ajili ya kupiga fedha ya serikali.
 
Innovation hawana .we utategemeaje serikali tu?.wengukuwa hata wafanya activity zingine za tech kwa private sector ..Wala serikali isilaumiwe na wasitafute mchawi. Maana serikali yenyewe ina mipango yake ya kupunguza Gharama na kuongezea ufanisi wake wa kukusanya mapato.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema ulikuwa ukiweka password ilikuwa ina load sana! Je ilifanikiwa kuunganisha kwa muda gani? Nina rafiki yangu pia inagoma....

Hii insuficient Funds imenikuta sana na nahisi ni kampuni inaenda kutetereka na itakufa Lazima ninachodhani Account yao haina HELA ndo mana huduma inakua ivyo..yeye ni Middle man so ili kununua umeme au Maji n lazima uptie account yake kisha yeye akununulie akuletee..Inapotokea sasa Huyu Middle man Account haina hela Huduma hapo kupata sijuiii.

maxmalipo ishakufa hapa nilipo natafuta wakumzawadia hii mashine anirudishie Japo ka hela kangu maana imebaki kama pambo kuuzia Vocha za TTCL tu tena zangu mwenyewe.

Mashine ilikua na vifurushi vya Voda ila saivi hamna tena..Vocha kurusha Mtandao unasumbua ovyo ki ufupi hawa ndugu zetu Biashara waliipenda ila inaonyesha Biashara hii ishawashinda wanatafuta pakuangukia.

Naogopa kuweka Float hela nyingi maana naogopa siku Niamke mashine haiingiii kwenye Menu Kuu kama juzi Imenishindisha Siku nzima Naingiza Password ina load kisha inarudi pale pale Ilinpa mawazo nikasema hawa wanampango gani na hii hela yangu HUMU ndani..sema Nimekoma kwakweli nikiweka Float nyingi sana haizidi 50,000 sizidishi
 
Umesema ulikuwa ukiweka password ilikuwa ina load sana! Je ilifanikiwa kuunganisha kwa muda gani? Nina rafiki yangu pia inagoma....
Yenyewe tuuu itakuja kukubali mimi tangua asubuhi nifungue OFISI imenisumbua weee...nikaisusa mpk usiku ndo imekuja kukubali
 
Back
Top Bottom