Maximo, Countinho waliliwa Brazil, Diamond atajwa

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957
Baadhi ya blogs za Brazil zimedai kama Andrey Countinho wa Dar young african angeitwa national team hakika ile adhabu ya jana wasingeipata.

Lawama zilimuendea zaidi Maximo kwa kulileta kinda hilo Yanga wakati hata Corithians walikuwa wanataka li signature lake ila mchangiaji mmoja aitwaye Thiago aliyejitambulisha kama rafiki wa Countinho alimshushia lawama kali msanii Diamond kwa kutoa ma song makali ambayo yalichangia kwa kiasi kikubwa bwana Countinho kuja bongo ili awe anafaidi ma live shows ya Dangote platinum,
 
Duh! Kweli tz ni zaidi ya uijuavyo...btw lengo lako limefanikiwa mkuu.
 
kwani countinho anajua kiswahili masongi anasikilizaje lol
 
hahahaaa so diamond kawa mtanzania nambari moja kumrubuni mbrazil kuichezea Young
 
mmhh mlioelewa naomba ufafanuzi

Sidhani kama yupo hata mtoa bandiko hajaelewa kama jikaze tu kuamini umeelewa kama mimi nnavyo jidanganya hapa,JF ina vituko mweeeeeee.
 
siku hizi wauza maji ya chupa mjini huwa wanaosambaza na gongo wana wateja wao njia hii hata polisi haoni ndani, ila wakiingia tu jf sensor inaonesha kabisa huyu kashabugia viroba huyu gongo huyu anapost huku yuko bar kakaa countet kabisa na vihela vya mawazo hatoi hata tipu ya shilling 100 ndio maana hataki kuhudumiwa yeye huduma inatoka kwa counter direct.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…