maatope
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 1,422
- 957
Baadhi ya blogs za Brazil zimedai kama Andrey Countinho wa Dar young african angeitwa national team hakika ile adhabu ya jana wasingeipata.
Lawama zilimuendea zaidi Maximo kwa kulileta kinda hilo Yanga wakati hata Corithians walikuwa wanataka li signature lake ila mchangiaji mmoja aitwaye Thiago aliyejitambulisha kama rafiki wa Countinho alimshushia lawama kali msanii Diamond kwa kutoa ma song makali ambayo yalichangia kwa kiasi kikubwa bwana Countinho kuja bongo ili awe anafaidi ma live shows ya Dangote platinum,