mzee Chibai
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 980
- 242
Dah gongo hizi..!! Anyway umefanya nicheke sana
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaa so diamond kawa mtanzania nambari moja kumrubuni mbrazil kuichezea Young
hahhahaha...... nimekosea jukwaa, au???
hujakosea ni bac tu kuna mwanaume kalalwa na mwanaume mwenzake ndo kaja kumsifia c unajua humu kila mtu yupo au we mgenii
mmhh mlioelewa naomba ufafanuzi
Baadhi ya blogs za Brazil zimedai kama Andrey Countinho wa Dar young african angeitwa national team hakika ile adhabu ya jana wasingeipata.
Lawama zilimuendea zaidi Maximo kwa kulileta kinda hilo Yanga wakati hata Corithians walikuwa wanataka li signature lake ila mchangiaji mmoja aitwaye Thiago aliyejitambulisha kama rafiki wa Countinho alimshushia lawama kali msanii Diamond kwa kutoa ma song makali ambayo yalichangia kwa kiasi kikubwa bwana Countinho kuja bongo ili awe anafaidi ma live shows ya Dangote platinum,
Hivi huyu contino ni yule wa liverpool au?
Jamani semeni kweli. Mimi naichukia yanga then naipenda liverpool kama ni pacha wake itakuwaje?Pacha wake.