Maximo, Countinho waliliwa Brazil, Diamond atajwa

Dah gongo hizi..!! Anyway umefanya nicheke sana

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
hahhahaha...... nimekosea jukwaa, au???
 
hahahaaa so diamond kawa mtanzania nambari moja kumrubuni mbrazil kuichezea Young

hahahahahaaaa.. nimecheka kwa bonge la sauti... hahahaaa.!!
hii trend inashika kasi kinoomaa hapa JF
 
hahhahaha...... nimekosea jukwaa, au???

hujakosea ni bac tu kuna mwanaume kalalwa na mwanaume mwenzake ndo kaja kumsifia c unajua humu kila mtu yupo au we mgenii
 
hujakosea ni bac tu kuna mwanaume kalalwa na mwanaume mwenzake ndo kaja kumsifia c unajua humu kila mtu yupo au we mgenii

hehehee,,, yani hii kali aisee
 

Tahira
 
- unaongelea yule muuza urojo wa sao paulo?!
 
ahahah! huna lolote wewe,btw nimependa ulivyotukamata kuanzia mbaali halafu conclusion ndo imebeba main point.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…