Wakuu nawaamkua.
Wakongwe naamini tunapaswa kumshukuru Mungu kwa uzima na afya.
Ninakuja na swali hapa ambalo nalikita katika eneo moja tu.
Wakongwe naamini tunapaswa kumshukuru Mungu kwa uzima na afya.
Kwa muda sikuweza kuwepo humu lakini hekima, busara na elimu ambayo niliipata humu sitoweza kuisahau kamwe. Bado JamiiForum ni kisima cha maarifa katika nyanja mbalimbali za maisha yetu.
Ninakuja na swali hapa ambalo nalikita katika eneo moja tu.
Kwa muda mrefu tumekuwa tukisikia sentensi za "Shetani kanipitia" nimekosea haikuwa dhamira yangu n.k. Hizi hazinipi shida sana waheshimiwa wakuu LAKINI hii ya FATE....May be its my fate...fate imenigharimu ...najikuta napata kigugumizi kwasababu kusema kweli mimi huyu FATE simuelewi...kwamba eti ni fate mtu awe anaangukia mikononi mwa wany'anganyi tu, huyu fate asababishe maumivu kwako tu au akupelekege wewe tu kwenye pepo yako ya dunia wakati wengine wanaumia!! n.k.
Je huyu fate hawezi kuwa defeated? Huwezi mzuia? and why huyu fate awe so nice kwa wengine na kwa wengine awe wa kukuletea maumivu tu?? JE HUYU FATE YUPO KWELI AU NDIO HABARI YA SHETANI KANIPITIA/ AU NDO MAMBO YA A POSITIVE MIND?
Jamani ambao mlishamuexperience Fate naomba ushuhuda wenu... Fate, Fate.. Fate!!! Mh