May be this love not for me

May be this love not for me

Baba idrisa shikilia hapo hapo
Hiyooo imeishaaz kwanza huyo Idrisa mwenyewe sio Mwanangu.

Huyu Bidada ni Singo mamaz mwanawe wamiaka mitano ndo anaitwa Idrisa.

Sasa hapo anachomekea Ba Idrisa, ili aniimgize king 😅😅😅

Hajuiii hajuiiii anadeal na Kichwa kingineee kabisaa😅😅😅
 
😂 ameyatimba jumla sio nusu nusu
 
😂 ameyatimba jumla sio nusu nusu
Kitu kizitoooo .

Unajua Mimi Huwa Niko hivi, nikitongoza Demu nakua nmeamua kubeba Kila kitu yaan nimjali, nimpe Pesa, nimtombe haswa n.k

Ila ila ilaz akishajichanganya tu Kwa jambo ambalo naona linagusa Heshima ya uanaume wangu, HUWA NISITISHA MAHUSIANO SIKU HIYO.

Kwann nirahisi kumsahau mwanamke waivo??.

Mimi ukiachilia mbali Mke wangu....MADEMU wengine wote nataka niishi nao kama wanadam wenzangu tu yaan Ufanye sehem yako, nifanye yangu.

Haiwezekan Pesa yangu ,inioe wakati mgumu bhanaaa .
 
Mkuu wenye mioyo na tabia kama yako mpo wachache sana, watu wengi ni wagumu sana kupotezea mahusiano hasa mwanamke akionesha hali ya uhitaji kutaka kuendelea licha ya kuzingua.
 
Umekosea kumuuliza swali spending the night???umempa option yakukataa kuja kulala ilibidi umtext kesho uje nyumbani tuspend night pamoja mkuu
 
Back
Top Bottom