May i not die before masanilo,nguli,chrispin,fidel80&burn

May i not die before masanilo,nguli,chrispin,fidel80&burn

Ha ha ha ha! sicheki nimeshtuka kukuvua nguo mbona ningejihisi mwenye bahati? anyway nisamehe baby wetu tumetoka mbali kumbuka mimi ndio nilio kukaribisha siku ulivyojitambulisha...na umenionaje kwenye picha yangu?

ok.Nimekusamehe.Na chrispin amekuweka uwe shahidi.Mimi nimemwambia tuwa-PM lakini yeye anakiuka miiko.
 
Thanks guys mmenifurahisha na picha zenu hasa ya MASANILO NA NGULI. Nimezisave zinafurahisha sana. Uh!
 
Thanks guys mmenifurahisha na picha zenu hasa ya MASANILO NA NGULI. Nimezisave zinafurahisha sana. Uh!

Jamani si ungeniPM tu sasa hapa kila mtu atamind ooohh Masa is handsome ana viwalo si unajua tena haters?
 
Thanks guys mmenifurahisha na picha zenu hasa ya MASANILO NA NGULI. Nimezisave zinafurahisha sana. Uh!

Vipi ya kwangu na mchumbangu hujaipenda? Hahaha! Najua unalia wivu.
 
Aaa mchumba. zile kura si mwenyewe umeona ushindi ulivoniangukia?
hahahahaaa.bado bwana,Fidel hajasema kitu wala nguli.hao akina SHE ndio kabisaaa.uwe na subira ili upigaji kura uwe huru na wa haki.Halafu hakuna kampeni!
 
Back
Top Bottom