May i not die before masanilo,nguli,chrispin,fidel80&burn

Geof kaa mkao wa kula inakuja yako soon.
 
Umeuonaje uchambuzi wangu?

Hutaki kuomba msamaha?wewe subiri tu,.Toka lini mimi nikawa mzungu?Halafu sijavaa nguo kweli? Na heshima zangu zote hizi? hujui mimi ni mama mchungaji? we chrispin ndiye mnyonge wangu,leo umenigeuza niwe mnyonge wako kweli?
 
Hahaha! Umesahau ahadi zetu tulizowekeana? Nguli ni mmojawapo wa mashahidi. Hahahaha! Na ulimkubali. Sasa vipi tena.
 
hulijui kosa lako? kushirikiana na chrispin,halafu unampa na thanks kwa kunivua nguo?

Ha ha ha ha! sicheki nimeshtuka kukuvua nguo mbona ningejihisi mwenye bahati? anyway nisamehe baby wetu tumetoka mbali kumbuka mimi ndio nilio kukaribisha siku ulivyojitambulisha...na umenionaje kwenye picha yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…