Mvina
JF-Expert Member
- Aug 2, 2009
- 998
- 34
Unatumia nini ss tunaogopa nyuki mezani!!
Vodika na mikonyagi kwa sana tu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatumia nini ss tunaogopa nyuki mezani!!
Simba mwenda pole ndo hula mabaki...
jidanganye tuu...
Nitafute mimi yaani hutakuwa bored kabisa na w/end yako itakwenda mswano kabisa, wahi nafasi ni chache binti. Halafu hata majina yetu yanaendana si unaona mwenyewe hapa babylove pembeni gudboy, nimeipenda hiiGuyz mnanichekesha kweli, I love ya all, in december will be in dar nitawatafuta, napendelea ucheshi na kuwa na watu ambao ni funny.
Guyz nilisoma kwa muda mrefu sana kabla ya kujiunga humu, nilivutiwa sana na michango wa members humu kiasi kwamba hata kama motion inaboa niliowataja hapo juu wanaifanya very interesting, these guyz are so funny. Moderator plz may I not die before I see these guys face to face, plz n plz, I realy love you guyz keep it realy I wanna see you soon.
Goodday.
we utakuwa mtoto wa kike mzuri wewe,,
Maria mbona umeadimika? Nani huyo anayekuficha?
Komredi angalia usije ukaingia kichwa kichwa hapo
ushabahatika kuonana na mmoja wao ?
Aisee akhsante....nilishahisi some' ain't right. Gademu....
Wewe mwenyewe unahisi kashaonana na nani? Ofkozi unajua ntakuwa mimi.
ushavuta kitu nini mdau jana tuu jamani......au mchakato bado unaendelea
Vp lakini naona upo busy sana na Gym?
umepata darling. Nawe una nafasi ya kukutana nami upate bahati yako. Ready.
never been this ready i cant wait any longer........pheeuux
hehhe hehhe duh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Aisee akhsante....nilishahisi some' ain't right. Gademu....
Oh yeah...nipo najenga mwili gym huku nikiwinda totoz...si unajua gym kunavyokuwaga na totoz
mkuu chrispin,
tumsifu yesu kristu!...........