May i not die before masanilo,nguli,chrispin,fidel80&burn

May i not die before masanilo,nguli,chrispin,fidel80&burn

Guyz mnanichekesha kweli, I love ya all, in december will be in dar nitawatafuta, napendelea ucheshi na kuwa na watu ambao ni funny.
Nitafute mimi yaani hutakuwa bored kabisa na w/end yako itakwenda mswano kabisa, wahi nafasi ni chache binti. Halafu hata majina yetu yanaendana si unaona mwenyewe hapa babylove pembeni gudboy, nimeipenda hii
 
Guyz nilisoma kwa muda mrefu sana kabla ya kujiunga humu, nilivutiwa sana na michango wa members humu kiasi kwamba hata kama motion inaboa niliowataja hapo juu wanaifanya very interesting, these guyz are so funny. Moderator plz may I not die before I see these guys face to face, plz n plz, I realy love you guyz keep it realy I wanna see you soon.

Goodday.

we utakuwa mtoto wa kike mzuri wewe,,
 
ushavuta kitu nini mdau jana tuu jamani......au mchakato bado unaendelea

umepata darling. Nawe una nafasi ya kukutana nami upate bahati yako. Ready.
 
mkuu chrispin,
tumsifu yesu kristu!...........
 
Back
Top Bottom