Mayai ni chaguo zuri, ila mwachezi Malinzi amalizie aliyoyaanza

Mayai mi sina tatizo nae,anaweza kukupeleka sehemu kama taifa kisoka tatizo langu kwake ni hao marafiki zake eti Julio[emoji16][emoji16][emoji16].
Hahahaha Mkuu kumbe na wewe jana uliliona eeh yaani kawakusanya wakina julio ndio wapambe wake sasa sipati picha ikatokea akaingia pale TFF sijui zile ofisi zitakuwa na hali gani.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Tuliza ball kijana,kama sura za wakina Malinzi hazifai tumuweke mkeo ili TFF ipendeze.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
https://jamii.app/JFUserGuide postin wit vodafone prom.... tuliza kende... nakujib kistarabu unataka kunipanda kichwa kwani malinzi anakukaza? Mbona kiherehere sana kusoma hujui nakua mstarabu kukuelewesha bado unarusha kende... fu. Yu min
 
**** postin wit vodafone prom.... tuliza kende... nakujib kistarabu unataka kunipanda kichwa kwani malinzi anakukaza? Mbona kiherehere sana kusoma hujui nakua mstarabu kukuelewesha bado unarusha kende... fu. Yu min
Hahahahahhaha hasira zote ni kwa sababu ya Malinzi????

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Tuige mfano kwa wakenya walimchagua kijana mdogo tu kwenye chama chao na sasa hivi solar la Kenya linapaa, tembele ndio muda wake huu
 
Tenga alikuwa ni Almasi,aling'ara si tu Tz hata nje.sasa mwone huyo nshomile.
1.Ligi imekuwa ya ovyo hata timu za kuiwakilisha Nchi zinapigwa ovyo:
2.Malinzi amekuwa akipigania maslahi ya yanga badala ya timu ya Taifa.
3. Kashindwa kuijenga vizuri timu ya Taifa na kuonekana ni timu ya kugawa point Nje.
4. Kashindwa kusimamia waamzi katika kutenda haki.
5. Kibaya zaidi tunaburuza mkia kanda hii katika FIFIA ranking.
6.viwanja vya mpira vipo ovyo.Yaani kashindwa hata kuomba serikali isamehe kodi kwenye vifaa vya michezo. Kipi kizuri chakumbakisha huyu Malinzi?
 
**** postin wit vodafone prom.... tuliza kende... nakujib kistarabu unataka kunipanda kichwa kwani malinzi anakukaza? Mbona kiherehere sana kusoma hujui nakua mstarabu kukuelewesha bado unarusha kende... fu. Yu min

HUYO nyumba ndogo ya malinzi mkuu,,achananae atakuumiza kichwa
 
Kati ya watu viongozi wanaoongoza soka ktk nchi hii ni huyo malinzi TFF yaani sitaki hata kulisikia jina lake likitajwa sijui alichaguliwaje....
Malinzi si bora hata Julio anamawazo yakutupeleka hata popote lakini J.E.M yupo yupo tuuu
 
Ni muda wa mapinduzi hapo TFF.Malinzi must go.


Team Mayai!
 
Malinzi tembea uhayan wanakuhutaj ila sio soka
 
Mnataka kumchagua Ally mayai kwa kuwa alikuwa mchezaji kwani anaenda kucheza mpira ofisini?
Mayay amekubalika sababu ya uchambuzi wake wa soka la Tanzania kwenye vituo kama Azam ,clouds akina shaffi humuita na amekuwa akizungumzia soka la TZ kwa ueledi


Ndio maana leo hii unaona mayay ana mashabiki wengi hata wa simba ,mayay amejijenga kwenye media kwa ufanisi wake ndio maana watu hawaja doubt alipochukua form
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…