Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Hahahaha Mkuu kumbe na wewe jana uliliona eeh yaani kawakusanya wakina julio ndio wapambe wake sasa sipati picha ikatokea akaingia pale TFF sijui zile ofisi zitakuwa na hali gani.Mayai mi sina tatizo nae,anaweza kukupeleka sehemu kama taifa kisoka tatizo langu kwake ni hao marafiki zake eti Julio[emoji16][emoji16][emoji16].
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app