Mayai ya Kwale


Mkuu asante sana kwa this useful post,kweli kwa maelezo haya nina amini mayai yatakua na tija na soko kubwa huko nje na hata hapa kwetu kwa huko mbeleni!natumahi wadau wenye idea juu ya soko la ndege hata kwa ujumla watakuja kutupa vidokezo
 
Mkuu hawa Ndege ni wazuri na wananza kutaga wakiwa na umuri wa wiki 7, tu na wakiwa na wiki 5 unaweza uza mtu akaenda kula, na wanaatamiwa kwa only 18 day,


Ila Kuna baadhi ya inforamation nimezipata so ni ta ku PM make ni very nyeti sana, na hii ni kwa sababu wewe ndo mleta maada na mhitaji mkuu,
 

Asante sana mkuu,nasubiri PM yako kwa hamu kubwa!i appriciate mkuu!
 
Niliwahi kuwaona hata China hawa viumbe wanauzwa kwaajili ya kitoweo!Inawezekana ni kweli wanasoko zuri sana nje ya nchi yetu!
 
Mkuu asante sana kwa this useful post,kweli kwa maelezo haya nina amini mayai yatakua na tija na soko kubwa huko nje na hata hapa kwetu kwa huko mbeleni!natumahi wadau wenye idea juu ya soko la ndege hata kwa ujumla watakuja kutupa vidokezo

Kuwapata sasa! Maana Kwale ana machale ya kufa mtu! Kumpata akiwa hai unahitaji akili ya bushmen!
 
Kuwapata sasa! Maana Kwale ana machale ya kufa mtu! Kumpata akiwa hai unahitaji akili ya bushmen!

Mkuu umenichekesha kweli,eti inabidi uwe na akili za bushmen!!!nadhani njia nzuri ya kuwafuga hawa wadudu ni kuchukua mayai yao,maana nahisi ukiwachukua moja kwa moja toka porini itakua shida sana
 
Hawa Ndege wanafugwa kama Kuku tu na hawana cost nyingi iukilinganisha na ufugaji wa kuku, na kuhusu Msosiitegma una wafugavipi, kama ni dani kwa ndani itabidi uwatafutie chakula, ila wanaweza fugwa kama kuku w Kienyeji wakawa wana tok na kwenda kutafuta wenyewe na vile vile anaweza gwa kama kuku wa Kisasa yaani Ndani kwa Ndani

Na gharama za kuwafuga ziko chini sana huwezi lingasha kuku

INATEGEMEANA HAYA HAPA

1. Kama unawafuga kwa ajili ya Mayai basi unaweza wapatia kile chakula cha vifaranga wa mayai na kuku w mayai,

2. Kama unawafuga kama Nyama unaweza wapatia kile cha kuku wa Nyama
3. Wape Maji safi na salama ya Kunywa kama unavyo wapa Kuku


MAGONJWA YAKE

1. Kuna aina moja kubwa ya Ugonjwa unao wapata hawa Ndege, Ing kuna baadhi ya magonjw yanayowapata kuku yanaweza pia kuwapata hawa ingawa wana uezo mkubwa sana wa kustahimili magonjwa kwa sababu wana damu ya Ndege wa Pilini ni kama Kanga



Ulcerative Enteritis (Quail Disease)
-Huu ni ugonjwa unao wapata haw Ndege na endapo watakunywa maji machafu au kula chakula kibaya wanaweza pata huu ugonjwa. na unaweza kuangamiza hawa ndege

Quail Bronchitis

-Na magonjw mengine ni kama ya Kuku ingawa ni kwa tagadhari tu
-Hakikisha hawa Ndege wana tunzwa vizuri, wana lala vizuri na unatumia madwa ya kuua bacteria ili kuwakinga,
-Wafuge wenyewe na usiwachanganye na kuku au ndege wengine

 
Kuhusu Ufugaji wake
- Hawa Ndege wanafugwa kama wanavyo fugwa Kanga, Ila hat kanga huwezi Porini kuakamata make utakuwa unatafuta matatizo na ili uwafug ni lazima wawe wamezliwa Nyumbani, Huwezi enda Porini kukamata Kware then uje kumfuga, make itakuwa na vigumu sana labda Vifaranga wake, na hata ka Kanga ni hivyo hivyo

Na kwa sababu asiri yao ni Porini unaweza tafuta kibari cha kuwafuga make ra sivyo unaweza fuatwa fuatwa sana na jamaa, make wanaweza hata kukuhusisha na waua Tembo,

kwa anaye taka mayai ya Kutotoresha tuwasiliane yanapatikana ila ni kwa uchache, mimi binafisi si wafugi, ingawa nilisha wahi kushawishika kuwafuga baada ya mtu kunipa story zake na umuhimu wake,

Na katika kutotoresha sheria zinazo tumika ni zile zile za mayai ya kuku tena kwa hawa kidogo inabidi mayai yasizidi 5 days tangu yatagwe,
 

Mkuu chasha

Mimi nahitaji mayai ya kware

Tafadhali naomba mwongozo
 
Kweli Jf kisiima cha elimu .Nafurahi kila nikifungua Napata kitu kipya
 
Wakuu nitarudu kuwapa Nondo zingine, Ila kuna siri kubwa sana kwenye hawa Ndege,
 
Mkuu chasha

Mimi nahitaji mayai ya kware

Tafadhali naomba mwongozo

Mkuu haina shida ila kuna Ugumu katika kutotoresha hawa ndege, na kama ujuavyo wako wa aina nyingi na si moja,

Na kama unatumia Incubator ni razima mayai yao yawe pekee yake make huwezi changanya na ya kku kwa sababu wanatofautiana sana kwenye HUMIDITY, hawa Kware wanahitaji humidity ya kiwango cha chini kabisa kwa siku 15 na siku nazo salia tatu ndo inatakiwa ipande

kwenye uwiano na majogoo hawa Kware nitofauti kabisa na kuku, wanatakiwa mitete angalau mitatu Dume mmoja na au hata mitetea wawili dume mmoja ukiwawekea uwiano kama wa Kuku mayai hayatarutubishwa

Mashine unaweza tumia hizi hizi za kuku ila ni lazima ubadili seting hat kwenye ugeuzaji wa mayai.

MWISHO TUTAKUJA KUMALIZIA NA SOKO LA HAWA NDEGE LIKOJE

 
Kuhusu soko la hawa ndege
Hawa ndege wama demand kubwa sana hasa upande wa mayai yake, kwa nyama si saama kama mayai
1. Japan-wanawala sana hawa ndege
2.Chima- kwa china hawa ndege wana soko kuliko hata kuku. China wanatumia sana mayai ya kware na China na Japan ndo wanaongoza kula kware na ni kwa sababu ya afya,

That is why Mashine zote zinazotengenezwa china au Japan ni lazima maelezo ya kutotoresha yahusu pia Kware

Hawa kware mayai yao ni tiba na kuna dozi unayo takiwa kutumia kwa kila ugonjwa, huko china na japan na hata Yanatumika kama tiba n
 
mkuu,hayo mayai yana nini cha zaidi hadi yawe dili sana huko,hebu dodosa dodosa basi 2jue kaka
 
Kwa Tanzania sasa, jana nilijaribu kufanya kautafiti maeneo fulani na na bado naendelea kukusanya maelezo na nitaya unganisha na niliyo tumiwa from Kenya jana, ili nije na maelezo kamili.
Hawa ndege vilevile wako wa aina nying
 
mkuu,hayo mayai yana nini cha zaidi hadi yawe dili sana huko,hebu dodosa dodosa basi 2jue kaka
Mkuu haya mayai ni tiba na kuna Maelezo nitaleta muone yalivyo na maajabu, yanaliwa na kwenye tiba ni best yakiliwa yaliyo chemswa.
Na nyama yake ni nzuri sana vilevile, so navyo sema yana soko china na japani si manishi kwa ku export no China na Japani wanaweza kuwa wanaongoza kwa ufugaji wa hawa kuku na Kuna kware wenye asiri ya China na wapo wenye asiri ya Japani

So mkuu yai lake ni tiba ya magonjwa mengi na kuna hadi mwongozo wa kuyatumia

Wabongo wengine tulivyo tutaanza kuwaza mengine, kware hata mimi nikiwa Bush tulikuwa tuna watega sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…