Mayai ya Kwale

Mayai ya Kwale

1800

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
2,215
Reaction score
604
Wadau habari zenu!nakuja jukwaani kupata mawazo yenu juu ya fursa mbali mbali ambazo ni ngeni na zilizo zoeleka kwetu!nimepata tetesi kua mayai ya ndege aina ya KWALE yana soko kubwa sana kwa sasa kwa baadhi ya sehemu hapa nchini na hata nje ya nchi hasa kwa nchi za kama India,Marekani Kusini,North America na hata baadhi ya nchi za Ulaya!je kuna mdau yeyote humu mwenye kujua ukweli zaidi juu ya suala ili?Asanteni wadau,nasubiri kuelimika kupitia kwenu
 
mimi najua mayai ya kwale ni maarufu kwa kumloga mtu aliyetoka na mwenzi wako......ukitumia kwenye dhamira hiyo , uliyemroga daima atakuwa na akili za kutangatanga kama kwale na hakika hatamkumbuka tena mpenzi wako
 
haa haaa haaaa

hii ni kiboko .... lakini sijui kama unaweza kufanya ufugaji wa kware kwa ajili. ya uzalishaji wa mayai
 
haa haaa haaaa

hii ni kiboko .... lakini sijui kama unaweza kufanya ufugaji wa kware kwa ajili. ya uzalishaji wa mayai

Mkuu nimedokezwa kua kuna mtu anawafuga Dar kwa ajili ya uzalishaji wa mayai yake kibiashara!bado sijapata details in deep kuweza kumfuata muhusika
 
kama kweli yana soko tuwasiliane mi nitakupa hata trey 1000000
 
Hawa Ndege Kenya wanafugwa sana, na wana liwa tu, bila shida, na nina chapisho linlo eleza faida za hawa Ndege ngoja ni litafute nitakuwekea hapa uone, na nilitaka kuchukua mayai yao nijekutotoresha, hao wanao sema ni kama Bundi si kweli hawa ni ndege wnye nyama nzuri sana

Mkuu Chasha .... ahsante kwa taarifa .... Mimi nilidhani hawa kware ni ndege wa porini tu kwani nimezoea kuwaona porini, huwa wanakimbia kwa kasi sana kisha huruka

Mimi ninafuga kanga nadhani ninaweza kuchanganya na hao kware nikafuga pamoja ... ni kweli nyama yao ni tamu na haina mafuta mengi ....., ni mithili ya nyama ya mbuni

tafadhali ukipata info za wapi wanapatikana unijuze
 
[TABLE="class: figtable, width: 663"]
[TR]
[TD="width: 327"]
75653573.AdqaijeY_327W.jpg
[/TD]
[TD]
2230696879_ac3092ef90_327w.jpg

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

189-Crest-Franc-NEW6850_327.jpg

kitomari2 ... hebu tupe uzoefu wako wa ufugaji ... je kware wanaweza kufugwa kwa uzalishaji?
 
Haya ndo Maeezo ya hawa Ndege Quails
Quails are small brown birds with speckled eggs mostly found in temperate areas.
Quail meat is a sweet and delicate white game meat with extremely low skin fat and low cholesterol value. It is rich in micronutrients and a wide range of vitamins including the B complex, folate and vitamin E and K and therefore recommended for people with high cholesterol levels and those who want to maintain a low level of cholesterol.
Quail eggs on the other hand, are very delicious and comparable in taste to free-range chicken eggs. Their nutritional value is 3 – 4 times higher than that of chicken eggs. Quail eggs contain 13% protein while chicken eggs have about 11%. Quail eggs have 140µg of vitamin B1, compared to 50µg in chicken eggs. Quail eggs are much richer in vitamin B2, iron, potassium, calcium and phosphorus than chicken eggs. Quail eggs are rich in HDL cholesterol, (the ‘good' cholesterol), so even senior citizens can eat them. Quail eggs have low cholesterol levels and are rich in choline, a chemical essential for brain function.

Some of the health benefits of quail eggs include:
Management of Arthritis & gastritis

Treatment of anaemia

Removal of toxins and heavy metals from the blood

Have strong anti-cancer effects, and may help inhibit cancerous growth

Nourish the prostate gland and may help restore sexual potency in men

Enhance good memory and brain activity

Strengthen the immune system especially good for HIV/AIDS patients

Slow down aging of organs

Strengthen heart muscle

quail egg yolk is rich in cholinesterase, may alleviate symptoms of Alzheimer's disease, and reduce risk of developing it

Strengthens hair and make it shiny

Improves skin complexion

The eggs can also be used for facial masks and hair care

If children eat at least two eggs daily, they grow better and are less likely to suffer from infectious diseases.
 
Mkuu Chasha .... ahsante kwa taarifa .... Mimi nilidhani hawa kware ni ndege wa porini tu kwani nimezoea kuwaona porini, huwa wanakimbia kwa kasi sana kisha huruka

Mimi ninafuga kanga nadhani ninaweza kuchanganya na hao kware nikafuga pamoja ... ni kweli nyama yao ni tamu na haina mafuta mengi ....., ni mithili ya nyama ya mbuni

tafadhali ukipata info za wapi wanapatikana unijuze

Mkuu My B tufanye hivi mimi nikiena Kenya nitachukua mayai yake kwa ajili ya Kuatamisha, kama una mashine itakua poa, make kilicho nifanya nisitake kuchukua haya mayai ni kwamba Joto la kutatotoresha ni tofauti na la kuku so ni lazima uwasetie joto lao wenyewe kwenye incubators, so kwenye next week naweza enda Nairobi na nitabeba machache make kuna Rafiki yangu Mkikuyu anao wengi sana na kule wana soko na wanaliwa kwa wingi
 
Hawa ndege ni wazuri sana siku mtu akifanikiwa kumla ndo utajua radha yake, na ukimpata wa kuchoma ndo balaa kabisa, na huwezi wafananisha na Kanga,
 
Back
Top Bottom