Tumainiandy
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 430
- 91
- Thread starter
-
- #61
Naomba kuuliza, kwale aliekomaa na anaefaa kuliwa hufikisha uzito kilo ngapi?
Sawa mkuu, kwahiyo nikitaka kumla pamoja na familia yangu mezani itabidi kila mwana familia ale kware wake peke yake! Hahahahaaa kware kumbe ni kitoweo cha kitajiri kumbe.Kware mkubwa akuwa na gram kuanzia 250 mpaka 300 ni ndege wadogo sio wakubwa hivyo
humu ndani mazuzu wengi sana hawajui mayai kuwa ni protein halafu mnataka mthibitishiwe sijui mmesoma shule gani wapumbavu sana
Hizi biashara ni piramid na natoa hadi mwishoni wa mwaka huu, hakuna atake jishughulisha na haya mambo tena, ni swala la muda tu
Mtazamo wangu ni huu kuwa hiki ni chakula bora mayai ya kware ya nutrients 78 ambazo ni bora na zinahitajika katika mwili wa mwanadamu katika hizo 45 haziko kabisa kwenye mayai wa ndege wengine na 31 ambazo ziko kwa kuku kware amezidi zaidi ya mara moja na nusu mpaka mbili nakushauri embu google benefit of quail eggs ujionee mwenyewe.
Hizo Nutrient ndugu zilifanyiwa utafiti na United state Department of Agriculture (USDA) na hii hapa ndio link yake Show Foods
Sasa ukichukuwa na hiyo ya mayai ya kuku unayozungumzia unaweza kuona kabisa kuwa ya kuku hayana hizo nutrients 45 ambazo kwenye kware zipo na hapo ndipo inafanya mayai haya yawe bora angalia hiyo link hapo inayofanya mlinganisho huo
https://www.dropbox.com/s/x0sgmli1s29jcwx/Kwarevskuku.xlsx
Kwa habari zaidi za kitafiti unaweza kututembelea ULIMWENGU WA KWARE TANZANIA
Ahsante na karibu
Kwa ambae niko Mbali na Dar nitayapataje?