Mayai ya kware yanapatikana kwa wingi sasa

Mayai ya kware yanapatikana kwa wingi sasa

Kware mkubwa akuwa na gram kuanzia 250 mpaka 300 ni ndege wadogo sio wakubwa hivyo

Naomba kuuliza, kwale aliekomaa na anaefaa kuliwa hufikisha uzito kilo ngapi?
 
Hizi biashara ni piramid na natoa hadi mwishoni wa mwaka huu, hakuna atake jishughulisha na haya mambo tena, ni swala la muda tu
 
Kware mkubwa akuwa na gram kuanzia 250 mpaka 300 ni ndege wadogo sio wakubwa hivyo
Sawa mkuu, kwahiyo nikitaka kumla pamoja na familia yangu mezani itabidi kila mwana familia ale kware wake peke yake! Hahahahaaa kware kumbe ni kitoweo cha kitajiri kumbe.
 
Ndio hivyo ndugu ila siku moja moja sio mbaya. Karibu


QUOTE=GP;12265521]Sawa mkuu, kwahiyo nikitaka kumla pamoja na familia yangu mezani itabidi kila mwana familia ale kware wake peke yake! Hahahahaaa kware kumbe ni kitoweo cha kitajiri kumbe.[/QUOTE]
 
Leta order yako ukiagiza zaidi ya tray 4 tunakuletea kwa Dar es salaam. Karibu
 
humu ndani mazuzu wengi sana hawajui mayai kuwa ni protein halafu mnataka mthibitishiwe sijui mmesoma shule gani wapumbavu sana
 
Ndugu punguza ukali wa maneno hayo tuendelee kuwaelimisha ndugu zetu ndio maana mwalimu anatakiwa kurudia mara kwa mara ili wanafunzi waelewe.

humu ndani mazuzu wengi sana hawajui mayai kuwa ni protein halafu mnataka mthibitishiwe sijui mmesoma shule gani wapumbavu sana
 
Ndugu kware wako duniani siku nyingi sana soma Kutoka 16:13 Mungu aliwapa watu waliokuwa safarini wale unaweza kupata huenda kuna sababu ya kufanya hivyo na sisi tuliokulia vijijini tunawajua ndege hawa wapo na wanafaida gani ilikuwa ni marufuku mayai ya kware yakipatikana kupewa watu wazima walikuwa wanapewa watoto na hii ndio ilivyo hata kwa Japan leo mayai haya wamama wajawazito ni shurti wale. Ikishindikana hapa ndani tunaexport ndugu.


Hizi biashara ni piramid na natoa hadi mwishoni wa mwaka huu, hakuna atake jishughulisha na haya mambo tena, ni swala la muda tu
 
Mayai ya kware yanaendelea kudhibitishwa kama moja ya chakula bora pata kwa manufaa ya familia yako
 
Kwa uhalisia kware ni ndege wa ajabu sana hata muda wa kutaga unaanzia saa tisa na kuendelea wa discipline ya kushangaza ila kupiga kelele nayo sio mchezo kwa vijogoo
 
Mtazamo wangu ni huu kuwa hiki ni chakula bora mayai ya kware ya nutrients 78 ambazo ni bora na zinahitajika katika mwili wa mwanadamu katika hizo 45 haziko kabisa kwenye mayai wa ndege wengine na 31 ambazo ziko kwa kuku kware amezidi zaidi ya mara moja na nusu mpaka mbili nakushauri embu google benefit of quail eggs ujionee mwenyewe.

Hii itakuwa na ukweli pale tu watalishwa chakula kinacho karibiana na kile wanachokula kule porini. Tatizo letu watz, tumeshaanza kuwalisha starter ya kuku peke yake ili kupunguza gharama, matokeo yake "by product" (mayai) yanakuwa hayana virutubisho vyenye ubora unaotarajiwa!
 
...hao kware wakifa kwa kideri hatutapata afya ? nauliza tu. Hizi imani za ajabu ajabu ndo zinasababisha muanze kuchinja albino eboo. ! Mungu atosha kunipa afya njema, afya yangu haitegemei hao wadudu, Yesu atosha....
 
Hizo Nutrient ndugu zilifanyiwa utafiti na United state Department of Agriculture (USDA) na hii hapa ndio link yake Show Foods
Sasa ukichukuwa na hiyo ya mayai ya kuku unayozungumzia unaweza kuona kabisa kuwa ya kuku hayana hizo nutrients 45 ambazo kwenye kware zipo na hapo ndipo inafanya mayai haya yawe bora angalia hiyo link hapo inayofanya mlinganisho huo
https://www.dropbox.com/s/x0sgmli1s29jcwx/Kwarevskuku.xlsx

Kwa habari zaidi za kitafiti unaweza kututembelea ULIMWENGU WA KWARE TANZANIA
Ahsante na karibu

Tatizo langu mimi ni aina ya chakula utakachowalisha jao kware! nimesha toa mchango hapo juu. Na mimi nimeshamaliza dozo ya mayai 240 (but where) ha ha ha ha !!!!!!
 
Mayai ya kware yanaimarisha kinga za mwili na hivyo ni chakula na sio dawa mtu yeyote anayekuleza kuwa hii ni dawa ajui maana ya dawa na sheria ya kitu kuitwa dawa, kwahiyo wewe ukipata hiki jua ni chakula swafi
 
Kwa kujenga afya njema ya familia tumia mayai ya kware
 
Mayai haya ni kwa kila mtu kwenye familia na ni mazuri zaidi kwa watoto kwa sababu ya kuimarisha kinga za mwili
 
Back
Top Bottom