Sisi pia tunauza mayai ya kware kwa bei ya shilingi 20,000/= kwa trei. Tunahamasisha na kutoa elimu juu ya ufugaji bora na faida za ufugaji wa kware. Tunaonesha wenye nia ya kufuga namna ya kutengeneza mabanda bora na ya bei nafuu. Tunauza kware wa wiki moja shs. 4000/=, wa wiki mbili shs. 5000/=, wiki tatu shs. 6000/=, na wiki nne shs. 7000/=. Mfugaji hahitaji kuwa na eneo kubwa ili kufuga kware. Chumba kidogo cha futi 10 kwa 10 chaweza kufuga kware hadi 1500 tofauti na kuku ambao idadi kama hiyo (1500) utahitajika kuwa na shamba ili uweze kufuga. Karibuni kwa maelekezo zaidi kupitia simu no. 0715 284 187. Tupo Mbezi Luis Dar, na tuna shamba la mfano lililokaguliwa na kuthibitishwa kwa kupewa hati na TFDA. Shamba la mfano tunaonesha bila gharama (free of charge). KARIBUNI WAJASIRIA.