Mshawa
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 783
- 321
Minimu supply yako ni tray ngapi? Kwa sh. ngapi? Niko ubungo
Trey 500 kwa tsh elfu 5 mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Minimu supply yako ni tray ngapi? Kwa sh. ngapi? Niko ubungo
Trey 500 kwa tsh elfu 5 mkuu.
HALI HALISI YA MSIBA WA MFUGAJI WA KUKU WA MAYAI HUU HAPA:
Mahesabu yafuatayo yanaonyesha namna Mfugaji wa kuku wa mayai anavyopata hasara /faida kwa ujio wa mayai haya yanayouzwa Tsh. 4500 kwa tray.
Tunamchukulia mfugaji mdogo mwenye kuku 500 mtaji wake hadi kuku wanaanza kutanga ni Tshs. 5,000,000.
Kuku hawa waanaanza kutaga baada ya kutunzwa kwa wiki 20 (Miezi 5)
Production: Kuku hawa 500 wakiwa na hali nzuri kiafya watamtagia tray 12 -15 max. (Hesabu ni 75% ya idadi yao)
Tutachukulia tray 12 kwa siku.
Running costs: assuming mfugaji huyu anafanya kazi zote mwenyewe, cost pekee itaenda kwenye chakula cha hawa kuku 500 ambapo kila kuku anakula grams 125. kwa hiyo jumla ya grams kwa kuku wote itakuwa 625grms. Ambazo ni kilo 62.50. (Mfuko mmoja wa kilo 50 unauzwa Tshs 38,000.
kwa hiyo jumla ya kilo 62.50 zitamgharimu mfugaji huyu jumla ya Tshs 47,500 kwa siku.
Mauzo kwa siku: Kwa bei ya sasa, sokoni tray ni Tshs 4,500 kwa shida shida - Mfugaji huyu atapata Tshs. 54,000, kwa tray zake zote 12.
Pato kwa siku :
Mfugaji huyu atapata faida ya Tshs, 54,000 - 47,500 = 6,500. (ukitoa gharama za chakula)
Madawa na Vitamins kwa siku - 2,500 (Paketi inayouzwa 8500 atatumia siku 3 approx)
Faida kwa siku 6,500 - 2,500 = 4,000/= Faida hii sijaweka nguvu kazi ya mfugaji huyu, Mlo wa mfanyakazi, sijaweka gharama ya matibabu kwa magonjwa ya kuku yatakayotokea n,k
Kwa mfano tuchukulie una kijana unamlipa Tshs 60,000 kwa mwezi ili akusaidi kazi hii - kwa siku itakuwa Tshs, 2,000. kwa hiyo faida kwa siku inakuwa 2,000/-
Pia kumbuka kuku hawa lazima warudishe mtaji wa Tshs 5,000,000 alizowekeza mfugaji huyu miezi 5 iliyopita - wengi pesa hizi wamekopa kwa jamaa zao, mabenki, saccos nk. sasa sijui pesa hizi atazirudisha kwa namna ipi, kama mtiririko wa biashara hii upo hivi.
Ni muda gani utarudisha Tshs 5million ili u-break even? (assuming kuku hawaugui na wala hawafi kwa muda wote huo)
Kwa kipato cha Tshs 60,000/- kwa mwezi, kwa mwaka ni 360,000Tshs. Je utatumia miaka mingapi kurudisha mtaji wa 5 million ????
sasa huu ni mfano hai wa mfugaji mwenye mtaji wa 5mil, je hawa wenye kuku wachache inakuwaje??
Hapa ndipo kifo kitakatifu cha huyu mfugaji mdogo mdogo kinapotimia.
kaka maji wanakunywa ila katika hesabu zangu sikuziweka, mara nyingi watu hutumia maji yao wenyewe!! ila nimeweka vitamins za kuchanganya kwenye maji ambazo gharama zake ni 2500 kwa siku.Mkuu FUSO ..... hawa kuku ni breed gani? ... hawanywi maji
![]()
Allow me to leave with you some few questions to ponder as you prepare for the first TNBC meeting and IRT meetings. I am doing this to stimulate a healthy discussion during those meetings hoping that at the end of such a discussion, you will come up with solutions to the challenges:
1. Tanzania is renowned for abundance of natural resources - such as arable land, mineral deposits, and natural attractions - that are mostly under- utilised. There are also opportunities in infrastructure, utilities, transit trade, and aviation. It is a fact that very few African countries can claim to supersede Tanzania on this score.
However, we need a fresh look at what is it that impedes speedy exploitation of these resources and opportunities to the benefit of the country. We know that full utilisation of these resources would enable Tanzania achieve higher growth rate which we need badly for eradicating income poverty and overcome underdevelopment? What can business do to deliver on this front tangibly and in a sustained manner?
2. Few countries in Africa can claim to enjoy the kind of political stability that Tanzania has. The issue at hand is how can we, together, make use of our political stability as a resource and foundation for growth and poverty eradication?
3. The benefits of the correct economic and fiscal policies that have been applauded by many are yet to reach the ordinary Tanzanian. We have in place the right macro-economic fundamentals for promoting growth, investments and trade.
The challenge before us is how to speedily and consistently send the gains to the micro-economic level and to rural Tanzania. Failure to do that, the macroeconomic gains will remain meaningless and illusive to the majority of Tanzanians. How do we, together, you and us, ensure that gains reach the micro-economic level?
4. Tanzania is widely acknowledged as having one of the most favorable investment incentives regimes worldwide. Transfer of capital and profits is allowed, and currency is freely convertible. Repatriation of profits, dividends, royalties, and such other payments are freely allowed. Investments are protected against arbitrary nationalization and expropriation. A commercial court has been established, and international arbitration is provided for.
Inspite of all these achievements, we are yet to witness a commensurate flow of investments. Can we know why? And, more importantly, what else needs to be done for us to witness an investment flow deserving a country like ours? Can you also suggest a regime of incentives to revolutionize the agricultural sector and ensure empowerment.
5. While the Tanzania Investment Centre has now been strengthened to be a truly one-stop centre, assisting investors in all issues, are we confident that ample assistance is given to locals and in establishment of indigenous enterprises? What can Corporate contribute in this front?
6. The other important matter that is more or less related to the previous one is that of creating a sizeable Tanzania middle class. Is it there? Not really! You will agree with me that the existence of a large middle class is critical for business and growth. How do we create it? What can the corporate sector and government do? We have to have answers to this pertinent question.
7. Tanzania qualifies for preferential trade access to the European market, under the EBA - Everything But Arms - arrangement provided unilaterally by EU to ACP countries. Tanzania has access to similar facilities for the US market, through AGOA, as well as Japan, China and Canada through more or less similar arrangements.
So far, we have not utilized these facilities as some of our neighbors have been. The questions are why not and what do we do? We need to have answers quickly because these are very important facilities in propelling faster economic growth and development. Besides, these facilities are not there forever, they have a limited life span. We better utilize these opportunities before doors close. How do we catch up?
8. Finally, Tanzania is well-positioned geographically. It is a gateway to six neighboring countries, five of whom are landlocked. Tanzania enjoys a larger market within the regional economic groupings to which we belong - the East African Community and the Southern African Development Community which together provide a market of almost 250 million people.
Given this enviable position, the challenge and the question is how is the Tanzanian Private Sector poised to take advantage of this niche and exploit the geographical location to turn Tanzania to a lead economy within the region? And, what is it that is needed in order for you and us to rise to the challenge in a sustained manner? As businesses, have you really positioned yourselves well enough to take advantage of the EAC and SADC common markets? If not, why? Lets put our act together to benefit from these lofty opportunities.
Click here to read the Speech
mimi nimejaribu tu kuwaweka sawa kwamba tukisema msiba tuna maana gani?Hata mimi pia nimeshangazwa hawa kuku hawatahitaji umeme, na hicho chakula cha tsh 38,000 utagaji utakua wa kusuasua mno.
Nipo Arusha ntachukua kwa Tsh.4000 km upo tayari ni pmWakuu,
Kuna msiba mkubwa mno kwa hawa wafugaji wa kuku wa mayai ya kisasa, takribani mwezi sasa mayai yamefurika mji mzima - hakuna soko kabisa.
Imefikia hatua sasa mayai yanaanza kuharibika kwa kukaa muda mrefu bila soko, inasemekana mayai yametoka nje ya nchi - tetesi ni kwamba yametoka Kenya kwa njia za panya. kwani ushahidi unaonyesha kwamba mayai yanayozalishwa Tanzania hasa Dar - es - Salaam hayawezi kabisa kujaza soko la ndani.
Bei ya mayai haya imeteremka toka 7500 - 8000 kwa Tray moja hadi kufukia 4500 - 6000 Tshs. Lakini pia hayanunuliki hata kwa bei hiyo.
Tunaomba wahusika na wadau wote wa mifugo hasa Wizara ya mifugo waliangalie suala hili kwani linaua kabisa wafugaji wadogo wadogo.
Nawakilisha kwa niaba ya wafugaji wa kuku wa mayai.
na pia tuangalie opportunity nyingine mbuzi, ngombe nk. Mayonnaise ambayo ni product ya mayai haitangazwi hivyo haina soko kama pruducts za maziwa kuanzia cheese, mtindi, samli nk. Hata keki tu kupika watu wazito wakati mayai cheap. Lotion au shampoo za nywele je? jamani tuachane na trays sasa khaaaJamani Watanzania tuangalie namna ya kufanya ili yauzike kwa kutoa bidhaa sio kuuza Kama mayai
Wakuu,
Kuna msiba mkubwa mno kwa hawa wafugaji wa kuku wa mayai ya kisasa, takribani mwezi sasa mayai yamefurika mji mzima - hakuna soko kabisa.
Imefikia hatua sasa mayai yanaanza kuharibika kwa kukaa muda mrefu bila soko, inasemekana mayai yametoka nje ya nchi - tetesi ni kwamba yametoka Kenya kwa njia za panya. kwani ushahidi unaonyesha kwamba mayai yanayozalishwa Tanzania hasa Dar - es - Salaam hayawezi kabisa kujaza soko la ndani.
Bei ya mayai haya imeteremka toka 7500 - 8000 kwa Tray moja hadi kufukia 4500 - 6000 Tshs. Lakini pia hayanunuliki hata kwa bei hiyo.
Tunaomba wahusika na wadau wote wa mifugo hasa Wizara ya mifugo waliangalie suala hili kwani linaua kabisa wafugaji wadogo wadogo.
Nawakilisha kwa niaba ya wafugaji wa kuku wa mayai.
Jamani Watanzania tuangalie namna ya kufanya ili yauzike kwa kutoa bidhaa sio kuuza Kama mayai
na pia tuangalie opportunity nyingine mbuzi, ngombe nk. Mayonnaise ambayo ni product ya mayai haitangazwi hivyo haina soko kama pruducts za maziwa kuanzia cheese, mtindi, samli nk. Hata keki tu kupika watu wazito wakati mayai cheap. Lotion au shampoo za nywele je? jamani tuachane na trays sasa khaaa
Nakuelewa sana mkuu nami nimo same boat najaribu kuweka option ili kusaidiana. Ni kweli serikali ilitakiwa itulinde na hata kuondoka shoprite ni vile walikuwa wakibanwa wasiingize vitu ambavyo sie tunazalisha. Upande mwingine nasi tuangalie wapi kuna fursa na kuzitumia maana tunayeumia ni sisi sio wao.Mama Joe kuna msemo kabla ya kufuga Ng'ombe anza na kuku...
Hayo mayai ya kidhhungu huwa yana vunjanguvu za kiume kama hamfahamu mulezi dokta yaani toka alfajiri hadi usiku ni kazi moja tuu ya kuwatilea dawa hadi kuwa yai si tatito hilo jamani ni bora ya kiyenjeji ndo huwa na ubora wa nguvu za kiume
Ina maana hujui kua hayo mayai ni sumu na yana madhara makubwa tu kwa afya? Nenda Ocean road watakuambia. Acha ubishi wa kikuda
kuna siku tutauziwa vitumbua kutoka nje