Mayai yamefurika Dar es salaam, Soko hakuna wafugaji ni Msiba

Mayai yamefurika Dar es salaam, Soko hakuna wafugaji ni Msiba

hali ni tete kwa wafugaji maana mtu anarundika mayai hawezi kuuza mwishowe anashindwq kulisha kuku wake.

soko la mayai liko congo,kuna mzungu iringa anaitwa hoffmann yeye anakusanya maelfu ya trey za mayai inatia fusoni huyoo congo,na inamlipa balaa,
 
wameshtukia hizo shahawa za kuku mnatuchanganyia na madawa ya ujanani

mambo gani nani anataka kula kumwona mtoto wa kiume ana miaka 5 amejaa maziwa kifuani loh

mi nina mwaka wa tano makurufu kuona hiyo kitu nyumbani na hata mama didy akila ale uko uko asipit nayo getini wala kuku wake..infact akileta kuku ntammaliza zipo za kienyeji 100 na fRee kuchinja mmoja kila baa da ya wiki sijui watatAfuta wapi sababu ...msiruhusu watoto kula binadamu tumebadilika kabisa
unaweka dawa za matumizi ya naniii kisa kuku amwage mayai mengi why???
Sijasema wewe napita tu
wewe hata ukiacha kula, kama afya yao ni mgogoro itaendelea kuwa hivyo hivyo tu.
 
kila Serikali duniani huwa na jukumu kuu la kulinda wazalishaji wake wa ndani - na kama product inatoka nje ya nchi lazima ipitie kwenye mfumo unaohusika hii ni pamoja na kulipa kodi husika na kiwango kinajulikana cha mzigo unaoingia nchini.

Inavyoonekana haya mayai yanapitia njia za panya - sasa hili jukumu si la mfugaji ndugu yangu.

That is one way of thinking LAKINI pia ni vema kujiuliza.., ukizingatia wakulima /wafugaji wa hapa nao hawalipi hizo kodi kwahio cha kujiuliza ni kwamba iwapo mtu bado anaweza kuagiza mzigo nje plus cost za transport na bado akaweza kuuza kwa bei ndogo kuliko wewe uliyopo ndani ni vema kujiuliza ni njia gani wanazotumia kuweza kuzalisha mzigo wao kwa bei nafuu (kama quality ni ile ile...) na kama quality yao ni mbaya bado wewe uliyepo ndani unaweza ukauza mzigo wako kwa bei ya juu kuliko wao kwa kuuza mzigo wako kwa kuwafahamisha watu kwamba wewe wako ni wa ubora zaidi...

Utaona haya yote kuyafanya kwa ufasaha inahitaji muugano wa watu ili kuuganisha nguvu zao kitu ambacho wanaweza kuongeza value ya bidhaa zao.

Pia kumbuka huu ushindani na ushukaii wa bei bado ni faida kwa mlaji (unless bidhaa ni duni) kwahio hizo ndio changamoto zinazokuja/zitakazokuja baada ya dunia kuwa kijiji na ushindani kuwa maradufu.., hapo itabidi waliopo ndani nao waanze kuangalia na masoko ya nje na sio ndani tu
 
Mi situmii hizo vitu cauz ni cancer tupu..mi ni mwendo wa kienyeji..over
 
umefanya research kwamba wote wanaoungua cancer wanakula mayai ya kisasa? acha kupotosha umma weye!! kama huna cha kuongena ni vizuri ukakaa kimya ili watu wasijue kichwani umehifadhi nini.

Ina maana hujui kua hayo mayai ni sumu na yana madhara makubwa tu kwa afya? Nenda Ocean road watakuambia. Acha ubishi wa kikuda
 
wameshtukia hizo shahawa za kuku mnatuchanganyia na madawa ya ujanani

mambo gani nani anataka kula kumwona mtoto wa kiume ana miaka 5 amejaa maziwa kifuani loh

mi nina mwaka wa tano makurufu kuona hiyo kitu nyumbani na hata mama didy akila ale uko uko asipit nayo getini wala kuku wake..infact akileta kuku ntammaliza zipo za kienyeji 100 na fRee kuchinja mmoja kila baa da ya wiki sijui watatAfuta wapi sababu ...msiruhusu watoto kula binadamu tumebadilika kabisa
unaweka dawa za matumizi ya naniii kisa kuku amwage mayai mengi why???
Sijasema wewe napita tu
kuku mmoja kwa wiki?!!
 
na sisi wabongo tupunguze biashara za kuigana,sometime tuwe creative.tumerundikana sana kwenye ufugaji kuku sasahivi ndo maana supply imekua kubwa na bei zimeshuka.wengine tufuge mbuzi,tulime mihogo na matunda matunda,soko ni kubwa sana la maembe,na mananasi.
 
Unashangaa Mayai.....:wacko::wacko::wacko:

Njoo mikoani huku uone watu wamevuna mavuno kibao,maghala yamefloats hakuna hata pa kuweka tena na mbaya zaidi soko hakuna:embarrassed:
 
Jaribu kuboresha bidhaa zako,
kwa kufungasha na kuunganisha watu katika vikundi kisha kuuz nje.
Hii nimeipenda sana inaonyesha watu wameamka kufanya kilimo na ufugaji, nimeona kwa wazazi wangu yaani kama kulima wamelima mpaka bidhaa zinaoza, alibadilisha ufugaji wake wakuu wa kienyeji kutumia njia za kisasa sasa.

Hivi kuna kuku kama utitirii ata hajui idadi yake wala akawauzee wapi mimi mwenyewe nililima viazi nimeuza kwa hasara maana sokoni bei ipo chini,mahindiii tumeuza 25000 na bado yamebakii ghalanii serikali imetekeleza vema kilimo kwanza ila sasa watafute masoko kilimo kiwe biashara sio kujikimu,watufungulie na mipaka.
 
Wakuu,

Kuna msiba mkubwa mno kwa hawa wafugaji wa kuku wa mayai ya kisasa, takribani mwezi sasa mayai yamefurika mji mzima - hakuna soko kabisa.

Imefikia hatua sasa mayai yanaanza kuharibika kwa kukaa muda mrefu bila soko, inasemekana mayai yametoka nje ya nchi - tetesi ni kwamba yametoka Kenya kwa njia za panya. kwani ushahidi unaonyesha kwamba mayai yanayozalishwa Tanzania hasa Dar - es - Salaam hayawezi kabisa kujaza soko la ndani.

Bei ya mayai haya imeteremka toka 7500 - 8000 kwa Tray moja hadi kufukia 4500 - 6000 Tshs. Lakini pia hayanunuliki hata kwa bei hiyo.

Tunaomba wahusika na wadau wote wa mifugo hasa Wizara ya mifugo waliangalie suala hili kwani linaua kabisa wafugaji wadogo wadogo.

Nawakilisha kwa niaba ya wafugaji wa kuku wa mayai.

Hii inathibitisha kwamba hali ni ngumu mno purchasing power ya watu ni ndogo mno, hata uwapunguzie wanakuangalia tu! Vinginevyo wangeyakimbilia kwa bei hiyo.
 
Hayo mayai ya kidhhungu huwa yana vunjanguvu za kiume kama hamfahamu mulezi dokta yaani toka alfajiri hadi usiku ni kazi moja tuu ya kuwatilea dawa hadi kuwa yai si tatito hilo jamani ni bora ya kiyenjeji ndo huwa na ubora wa nguvu za kiume

Mkuu mayai pekee hayahusiki na nguvu za kiume bali na life style nk

9k=
 
He 4500!leteni leteni huku zenjiberi haraka !huku tunapenda pizza,vileja keki,cutles,kila siku .leteni tununue huko dar wake zenu wavivu wa kuoka oka! leteni bwana huku 8000 na hatujapunguza kasi ya kuyanunua!
 
Naibu I moja tu kutokana na ugumu wa maisha sasa hivi mayai ni luxury food kwa watanzania
 
Wakuu,

Kuna msiba mkubwa mno kwa hawa wafugaji wa kuku wa mayai ya kisasa, takribani mwezi sasa mayai yamefurika mji mzima - hakuna soko kabisa.

Imefikia hatua sasa mayai yanaanza kuharibika kwa kukaa muda mrefu bila soko, inasemekana mayai yametoka nje ya nchi - tetesi ni kwamba yametoka Kenya kwa njia za panya. kwani ushahidi unaonyesha kwamba mayai yanayozalishwa Tanzania hasa Dar - es - Salaam hayawezi kabisa kujaza soko la ndani.

Bei ya mayai haya imeteremka toka 7500 - 8000 kwa Tray moja hadi kufukia 4500 - 6000 Tshs. Lakini pia hayanunuliki hata kwa bei hiyo.

Tunaomba wahusika na wadau wote wa mifugo hasa Wizara ya mifugo waliangalie suala hili kwani linaua kabisa wafugaji wadogo wadogo.

Nawakilisha kwa niaba ya wafugaji wa kuku wa mayai.

unashangaa hilo mbona vitunguu swaumu na samaki wanaimport angali uwezo wa kuzalisha upo na vilivyozalishwa vimo ila tu kwa maslahi ya ccm na viongozi wake
 
Sidhani kama kuna ukweli wowote juu ya kuingizwa kwa mayai kutoka nje ya nchi, yawezekana hizi ni hisia tu.
Ukweli ni kwamba biashara ya mayai hasa kwa dsm ilianza kuyumba kipindi kile cha mwezi mtukufu baada ya mfungo kuisha biashara ikatengamaa ila kwa kuwa uzalishaji umeongezeka kupita mahitaji ndio maana soko limefurika...

Ushauri wangu watu wasikimbilie tu kufuga kuku kwa kuwa jirani yako nae anafuga, na kama ukiamua kuiga basi tafuta hata hotel au mlaji wa uhakika uingie nae mkataba, pia wafugaji wawe wamoja kusaka masoko. Pia kufuga mifugo mingine kama ngombe mbuzi, sungura n.k
 
Mkuu mayai pekee hayahusiki na nguvu za kiume bali na life style nk

9k=
mkuu kuna watu huongea bila hata kufanya utafiti hata kidogo - matatizo ya nguvu za kiume yanatokana na kula mayai ya kuku wa kisasa? this is very weak argument - hili ndilo taifa letu na hawa ndio wananchi tunaowategea ku argue points with some supporting justification.

Achana naye tusonge mbele ya mada yetu mkuu!!
 
Back
Top Bottom