Mayai yanaweza kusababisha uume usisimame?

Mayai yanaweza kusababisha uume usisimame?

MAKAVU LAIVU

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
75
Reaction score
12
Nilikuwa nakula sana mayai yaani kwa mwezi nilikuwa napiga trei moja na nusu dah nikaanza kuona tofauti yaani uume wangu ulikuwa hauwezi simama na kua imara kabisa.

Hivyo nikaamua kuachana na kuanza kula tangawiziI kwa wingi natafuna robo kwa siku sasa nimerudi katika hali ya kawaida.
 
mayai ya 'kienyeji' yanaimarisha misuli, ya 'kizungu' yanalegeza wewe ulikula yapi?
 
Nilikuwa nakula sna mayai yaan kwa mwez nlikuwa napiga trei moja na nusu dah nikaanza kuona tofaut yaan uume wangu ulikuwa hauwez simama na ku imara kabisa Hivyo nkaamua kuachana na kuanza kula TANGAWIZI kwa wing natafuna robo kwa siku sasa nmerudi ktk hal ya kawaida[/QUOT

Nina wasiwasi ulikula ya kichina aka ya kisasa; mbona ya kienyeji shwari Sana.
 
Back
Top Bottom