Mayalla Paschal bado unaamini kuwa Paulo Makonda bado ni Presidential material?

Bado naamini,
hata hili sakata la kiwanja, ukweli ni huu
Asante Sana kwa taarifa hii, naomba Mimi Mwanajeiefu mwenzenu, niwe mtu wa kwanza kuwajulisha kuwa hii vita ya kutaka kumdhalilisha mpakwa mafuta wa Beans, Paul Makonda, sasa ndio mwanzo WA mwisho wa hasidi huyu!. Karma ndio itamaliza kila kitu. Simaanishi Makonda ni malaika, bali, ni binaadamu kama binadamu wengine, hakuna mkamilifu, hivyo na yeye kuna makosa ametenda na tayari karma imeisha mshughulikia, hivyo kwa maonevu anayotendewa na hasidi huyu, ni Mungu, Baba ndiye atamlipia.
Kwanza mafanikio yake ni kutoka kwa Mungu. Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni

Kisha, Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!

Hivyo, hata kampeni batili ya kutaka kumpora kiwanja, ni upepo tuu na utapita.

Watu kumfanyia fitna na majungu, Makonda, hawakuanza leo Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .

Yote haya yatapita, na Makonda atasimama.
P
 
Nilijuaga Pascal Mayala ni mtu kumbe naye HAZIMO hapa tunajadiliana na mtoro wa mirembe, MAKONDA ADHULUMIWE ILI NINI KWA LIPI LA KUWAZIDI GSM?
ukweli ni huu
Asante Sana kwa taarifa hii, naomba Mimi Mwanajeiefu mwenzenu, niwe mtu wa kwanza kuwajulisha kuwa hii vita ya kutaka kumdhalilisha mpakwa mafuta wa Bwana, Paul Makonda, huu sasa utakuwa ndio mwanzo mwisho wa hasidi huyu!. Karma ndio itamaliza kila kitu. Simaanishi Makonda ni malaika, bali, ni binaadamu kama binadamu wengine, hakuna mkamilifu, hivyo na yeye kama binadamu, kuna makosa ametenda na tayari karma imeisha mshughulikia, na labda hata haya anayopitia usikute ni karma ya matendo yake ila kwa maonevu anayotendewa na hasidi huyu, ni Mungu, Baba tuu ndiye pekee atakayemlipia.

Kwa msiomjua Makonda, mafanikio yake ni kutoka kwa Mungu na niliwahi kuyazungumza HAPA!

Kisha, Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!

Hivyo, hata kampeni batili ya kutaka kumpora kiwanja, ni upepo tuu na utapita.

Watu kumfanyia fitna na majungu, Makonda, hawakuanza leo Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .

Mwisho wa siku, haya yote yatapita, na Uweza wake YEYE, Makonda atasimama!.
P
 
KWA ujibuji huo shikamoo age mate wangu au makonda ka hack account yako enheeee
 
Halafu ndio ulitegemea kuwa mbunge wa Kawe lofa kama wewe.
 
Annoying... sijui unalipwa?
Atakuwa analipwa..

Huo ukweli Pascal kautoa wapi?? Kauthibitishaje?? Ule MKATABA ambao muhuri chini picha juu?
Mke wa Gharib huenda alisaini kuepuka kuonewa kunyanyasika mumewe!

Eti anadhulumiwa na GSM kiwanja!
Bashite dhuluma aliianza yeye, sasa Mali ya dhuluma haidumu!

2013 milioni 120 alizipataje??? Tuanzie hapo! Urafiki wa kinafiki! Atajua hajui!

GSM siyo chizi, wakukurupuka kunyang'anya mtu, Ila huyo Fa Fa Zero brain ni dhulumati wahedi!
Eti presidential material! Njaa mbaya tena njaa ya bro P ni ya kipekee, kitofauti!
 
Bila shaka Mayalla ni miongoni mwao Waandamizi wa genge la Sukuma (Sukuma Gani) Jamaa wanafikiri wao ndiyo wenye haki juu ya Nchi hii Jinga kabisa
Tujifunze kuwa wakweli toka ndani ya nafsi zetu, hakuna hiki kitu kinachoitwa SG!. It doesn't exist in reality!.
P
 
Tujifunze kuwa wakweli toka ndani ya nafsi zetu, hakuna hiki kitu kinachoitwa SG!. It doesn't exist in reality!.
P
Wewe ndiyo ulitaka kuwaganda sukuma Gang ili uwe kwenye mfumo wao,lakini sukuma Gang hawakukutaka uwe chawa wao kwa sababu huaminiki ,lakini bado hadi Sasa hujitambui kuwa SG hawakutaki.
M.
 
Wewe ndiyo ulitaka kuwaganda sukuma Gang ili uwe kwenye mfumo wao,lakini sukuma Gang hawakukutaka uwe chawa wao kwa sababu huaminiki ,lakini bado hadi Sasa hujitambui kuwa SG hawakutaki.
M.
Nitake kuwaganda Sukuma Gang for what?!. Ili nipate nini?. Kama JPM mwenyewe ndio the top most Msukuma kwenye the highest office, alikula spana za kutosha, niache kumganda JPG, halafu nitake kuwaganda the fictitious Sukuma Gang for what?!. Hao Sukuma Gang Who are they na wana mfumo wao gani?.
P
 
Halafu ndio ulitegemea kuwa mbunge wa Kawe lofa kama wewe.
Kwa ulofa, Mimi najikubali Pasco ni lofa, apeche alolo!. Tuna watu wengi ni malofa kama mimi, ila wakipata uongozi wanakuwa ni viongozi wazuri, hata Mwalimu Nyerere, hakuwa na kitu na ameondoka kwenye uongozi with nothing, hivyo lofa mimi ni Nyerere type.
P
 
Nyerere hakuwa mnafiki ndugu yangu alikuwa na misimamo isiyoyumbishwa

Wewe sio nyerere type, u just one of your many types.ndumilankuwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…