"Maybe It's Time to Talk to Your Armed Opposition" - Ugandan Yoweri Museveni Tells Rwandan Kagame!

Hakuna tena pambano saizi Kagame anapigiwa saluti na wanajeshi wa Tanzania. Things changes meen
Hao hao wanaompigia saluti ndio waliomchapa! hahaha, yeye ndio kaufyata. What happened to " i will hit you"?
 
Rwanda na Tanzania ni nchi ndugu,hata viongozi wagombane undugu uko palepale!
 
kutishia kumpiga mtu sio diplomacy ni uhuni, kwa upande mwingine kushauri mazungumzo ndio diplomacy. Anyway Rwanda sio marafiki zetu tu ni ndugu zetu, hilo tunakubaliana.
Lakini bottom line ni kuwa siasa za Tanzania ya awamu ya tano ni kuwa na uhusiano mzuri na Rwanda ili tufanye biashara. Kikwete alitishiwa kupigwa kwa sababu ni kigeugeu, sera yetu ya uhusianobwa afrika mashariki ilikuwa haieleweki lakini sasa kila kitu kiko sawa. Bajeti ijayo reli inaanza hadi Kigali na Bujumbura
 
Ndugu huo ni upotoshaji, Kikwete hakutishiwa kupigwa kutokana na kigeugeu, katika jambo gani? Sera yetu ipi ya Afrika mashariki ilikuwa haieleweki? Hebu fafanua.
 
wewe ndio unataka kupotosha ukweli wa mambo! Kikwete sio ukigeugeu tu jumlisha na unafiki tena mimi naenda mbali zaidi na kumfananisha na wale wapiga pesa walio muuwa Yesu, baada ya Membe kuanza safari zisizo isha za kwenda Ufaransa zikifuatiwa na maneno yasiyoeleweka kutoka kwa Raisi wa nchi jirani/ndugu kwetu ilikuwa ngumu kuimeza
 
kwa hiyo nyinyi mkigombana na ufaransa na sisi tusiende ufaransa? Haya bwana umeshinda. Lakini kumbuka sasa hivi habari ya mjini kubwa kuliko magufuli kumtembelea Kagame ni bomba la mafuta la kampuni ya TOTAL kutokaaa ......🙄
 
haahhhahaha jMali we ni bingwa wa ku twist mambo kwa hiyo unataka kutuambia zile safari za Membe zilikuwa ni za kwenda kunegotiate oil ya waganda itakapo pitia? sasa Membe naye akawahaidi nini? alafu waganda wao wafanyekazi gani? aisee balaa tupu
 
Nchi yenu ndio ina mambo ya ajabu, kama nyinyi hampatani na Ufaransa kwa nini muwe na shaka juu ya nchi zingine ambazo zina uhusiano na ufaransa? Alichokwenda kufanya Membe nyinyi hakiwahusu. Ila sasa hivi ujue tu kuwa huyo mfaransa ambaye hamumpendi sie tunapiga nae dili, sasa wewe kaa ukidhani tutaacha bomba la TOTAL for those 5 cows! 😀
 
hatukatai! sema na hilo bomba nalo vilevile haliwezi kukufanya ututie kidole jichoni! unaweza kufanya biashara zako bila kutumiwa kugombanisha ndugu zako!
 
kutishia kumpiga mtu sio diplomacy ni uhuni, kwa upande mwingine kushauri mazungumzo ndio diplomacy. Anyway Rwanda sio marafiki zetu tu ni ndugu zetu, hilo tunakubaliana.
Eti Rwanda sio marafiki zetu? Hahaha...some lonely psychopath hiding behind the keyboard trying to influence the thoughts of 40+ million people..nakuonea huruma
 
chuki dhidi yangu imetamalaki kwenye moyo wako kiasi kwamba hata kusoma ukaelewa ninachoandika huwezi, unakurupuka tu na matusi kama kawaida yenu.
Ndugu MK254 naomba mtafsirie rafiki yako hata kwa kiswahili cha kenya maana ya maneno yangu hapo chini:
Anyway Rwanda sio marafiki zetu tu ni ndugu zetu, hilo tunakubaliana.
 
Back
Top Bottom