"Maybe It's Time to Talk to Your Armed Opposition" - Ugandan Yoweri Museveni Tells Rwandan Kagame!

"Maybe It's Time to Talk to Your Armed Opposition" - Ugandan Yoweri Museveni Tells Rwandan Kagame!

Museven kaona mbali.na Museven walishakorofishana na Kagame na mda mrefu tu walikua hawan mawasiliano mazuri.ni juzi tu hapo uhusiano umerudi na Yoweri akahongwa ng'ombe kalegea.baaada ya hapo ameanza kushtuka kwa sababu kagame alirudisha uhusiano ili amtumie katika matakwa yake ndani ya maziwa makuu.wote Museven na Uhuru kwa sasa na hiyo coalition of the willing wanatumiwa tu na PK akipata anachotaka atataka awaongoze au atawatosa.
 
Viongozi wa maziwa makuu ikiwemo Rwanda, wangetumia busara na hekima kumaliza migogoro ya mara kwa mara, kati ya maziwa makuu, Nchi jumuia ya SADC wamwekee shinikizo M7, Kuwa ni lazima wafanye negotiation na waasi walioko DRC, Vinginevyo tutaendelea kusikia sauti Muhimu zikipaza sauti kuhusu CONGO,RWANDA, na kwingineko.
Wananchi hususani wale wa CONGO Wameishi kwa umaskini wa kutisha, bahati mbaya viongozi waliopewa dhamana hawataki, kufanya mazungumzo ya amani kwa pande zote.
 
PK vs JK...naona kama zilikuwa ngumi za kuku,wameshambuliana na sasa wanatizamana.
NOW WATCHING....
PK vs YM.......mmoja hapa kashapigwa tayari hata kabla hajaingia katika pambano lenyewe.

"Nlikuwepo":bolt:
 
kagame & museveni wote nimadikteka katika kanda hii afrika mashariki na uongozi wao ni wakizamani sana.:A S tongue:
 
Source ya mwandishi si nzuri.
Ni maajabu kwa mwandishi kupata mazungumzo ya simu ya hao marais Museveni na Kagame.
Pia chanzo ni wanaompinga Kagame na kutaka support ya Museveni.
Museveni amekataa kuwakabidhi viongozi wa M23 kabla DRC na MONUSCO kuwacharaza makundi mengine ya FDLR na ADF-NALU.
Pomoja na nia ya kutaka kuonyesha uzuri au ubaya wa Kagame, mwandishi anatakiwa kuwa na uthibitisho wa anachokiandika.
Anjo

Nakuunga mkono hata mimi nina wasiwasi sana na habari hii,ukiangalia jambo dogo tu utaona maelezo yanafanana sana na alipo gombana na JK hasa pale aliposema kwamba hata Tanzania wametugeuka tumebaki peke yetukwa hiyo akawaambia watu wake wa karibu nadhani ni usalama waende wakafikili cha kufanya halafu waje na sln wafanye nini! sasa iko sawa na story ya M7,then ujiulize mazungumzo ya kwenye simu ya watu wawili tu,lazima kutakua na hofu ya source ya info inakua kama imepikwa tu
 
Source ya mwandishi si nzuri.
Ni maajabu kwa mwandishi kupata mazungumzo ya simu ya hao marais Museveni na Kagame.
Pia chanzo ni wanaompinga Kagame na kutaka support ya Museveni.
Museveni amekataa kuwakabidhi viongozi wa M23 kabla DRC na MONUSCO kuwacharaza makundi mengine ya FDLR na ADF-NALU.
Pomoja na nia ya kutaka kuonyesha uzuri au ubaya wa Kagame, mwandishi anatakiwa kuwa na uthibitisho wa anachokiandika.
Anjo

Haujielewi wewe!!!ukweli huwa haupingwa kwa cheap reasons kama zako,na ujue kuwa hiyo source ni authorized siyo kama ww unayejiunga mtandaoni na kuanza kumsupport kagame!!!!you must be m23 member ww siyo bure!
 
Acha ushabiki kikwete was never wrong at any point, kagame alikuwa na issue zake moyoni, just try to be neutral and use common sense

Nashukuru kwa kunijibia....huyo m.p.u.m.b.a.v.u hapo juu.
 
Museven hatofanikiwa kwa Kagame ni sawa na Wana Yanga kuwaambia wavae jezi Nyekundu au Jezi yenye doa red.. kuonesha Mpira ni Urafiki
 
Habari za uwongo wa kifala from Afroamerica network,this is like Redstate or Rush Limbaugh to Obama,wajueni hao afroamerica ni kina nani to Kagame labda itawasaidia kujenga hoja zenu hata kama hampendi Kagame.
 
Museven ana vituko sana. Anang'angana na mgogoro wa DRC wakati Joseph Kony kachakaza Uganda kwa zaidi ya miongo miwili sasa.
 
Tatizo JK yeye aliropoka badala ya kumshauri faragha.

acha kufkiri kuptia makalio ktk eneo kikwete alilotumia busara na la kukumbukwa ni la East Africa aliposema ...tz w r n east afrca to stay...waliomtega kna kagame wakachanganyikiwa
 
Haujielewi wewe!!!ukweli huwa haupingwa kwa cheap reasons kama zako,na ujue kuwa hiyo source ni authorized siyo kama ww unayejiunga mtandaoni na kuanza kumsupport kagame!!!!you must be m23 member ww siyo bure!

In fact I doubt your intellectual capacity which is contrary to your alias. Kati yangu na wewe mgeni kwenye forum hii ni nani? Siwezi kuwa M23 na wala haiwezi kutokea nikawa FDLR au ADF. Sina sera za aina Kama Yao wala yako. Nina mawazo ya kujitegemea na si ya kutegemea ya wengine. Tafuta forum nyingine ya propaganda chafu hapa umechemka.
Jadili hoja na si kutafuta visingizio. Ukweli utakuwa ukweli. Tanzania itaendelea kuchukua msimamo wa ukweli na si propaganda zisizokuwa na mashiko.
Usitetee bila hoja, jifikilie na ujitambue. Chuki haisaidii kutatua tatizo.

Anjo
 
Hivi huko kwenu hamna matatizo ya kutatua? Mfano ujambazi...mlisema eti wanyarwanda ndio wanafanya ujambazi huko maeneo ya kanda ya ziwa lakini hivi majuzi nimesikia basi moja la takwa lilitekwa abiria wakasafishwa vizuri tu....sasa sijui hao majambazi walitoka huku kwetu wakavuka mpaka na silaha mpaka wakafika singida na kufanya ujambazi huo? Pili, lakini kwanza niwape pole watanzania kwa kumpoteza huyo msomi aliyevamiwa na majambazi sasa sijui na hao majambazi ni "wanyarwanda"?
Asante sana Murutongore kwa pole zako. Ila kuna kitu kimoja inabidi uelewe kuwa migororo ya nchi jirani inatuathiri na imekuwa ikituathiri kwa miaka mingi kwa kuigeuza nchi yetu kuwa kimbilio la wakimbizi wa mataifa mbalimbali ikiwemo Rwanda, Uganda, Burundi, DRC, Somalia, Zimbabwe, South Africa, Mozambique, Malawi na mengineyo. Na kila wanapokuja wamekuwa wanasababisha matatizo ya kiuchumi, kijamii na kiutamaduni kwa nchi yetu. Ndio maana inabidi mtuelewe tunapowashauri mkae na wapinzani wenu muongee kwani lengo letu ni moja tu kuwa na amani kwenye huu ukanda wetu ili tujikite kwenye kuubadilisha uchumi wa nchi zetu na kuboresha maisha ya wananchi. Sisi tunabishana na kupingana bila kupigana ndio maana kila inapotokea kutokuelewana kati ya chama tawala na wapinzani Rais wetu huwakaribisha Ikulu kufanya mazungumzo ya kutatua matatizo na mara zote tumekuwa tukifikia muafaka. Mnaweza pia kujaribu hilo. Nelson Mandela asingekubali kukaa na wauwaji wa waafrika na watu waliomfunga yeye binafsi kwa miaka ishirini na saba (yaani makaburu) leo hii Afrika Kusini isingekuwa hii tunayoiona. Kagame anaweza kujifunza mambo mengi toka kwa Nelson Mandela.
 
Umesema vizuri ndugu!
 
Ndo maana wewe ni junior member hapa. you don't know jack shit. raisi wetu hajawahi kukaa "kijiweni" popote pale. mda huo wa kunywa kahawa na kashata hana na kupiga porojo za simba na yanga hana.[/QUOTE]
 
Wewe unaejiita MURUTONGORE hujui hata Dict. wako Kagame alikotokea. Waweza kuniita jnr. lakini ni mjuvi wa mambo mengi ambayo pamoja na u col. wako hutoweza yajua. Twambie sitting room yake ilikuwa wapi wakati akiwa dar. Alikuwa na mpwa wake ambaye alikuwa anafanya kazi NBC City branch na alikuwa rafiki yangu na nilipata mara kadhaa kukutana nae kagame mwenyewe. USIWAPOTOSHE WATU NA TAARIFA ZAKO AMBAZO HAZINA UKWELI WOWOTE. Uliza tukuambie.
 
PK vs JK...naona kama zilikuwa ngumi za kuku,wameshambuliana na sasa wanatizamana.
NOW WATCHING....
PK vs YM.......mmoja hapa kashapigwa tayari hata kabla hajaingia katika pambano lenyewe.

"Nlikuwepo":bolt:

hilo pambano kati ya jk na pk limeshafanyika huko goma na pk kapigwa knockout round ya kwanza kabisa, je hizi siku za karibuni umeshawasikia wakina koba,muto, nk wakibeza jw tena!!!na kuna mdau kanitonya kuwa zile export za mbao na coltan hakuna tena!!!
 
For this Kagame is no where to go and its jus a matter of time to his end...and to be true Museven anang'ata na kupuliza.
And i also doughty bout Collision of willing referring to ICC and the Kagame issue.
Vipi bado unaendelea na msimamo wako au umebadilika? Magufuli huuuyooooo kwa "rafiki" yake Kagame
 
hilo pambano kati ya jk na pk limeshafanyika huko goma na pk kapigwa knockout round ya kwanza kabisa, je hizi siku za karibuni umeshawasikia wakina koba,muto, nk wakibeza jw tena!!!na kuna mdau kanitonya kuwa zile export za mbao na coltan hakuna tena!!!
Hakuna tena pambano saizi Kagame anapigiwa saluti na wanajeshi wa Tanzania. Things changes meen
 
Back
Top Bottom