Mayele acha kutafuta kiki kupitia Yanga

Mayele acha kutafuta kiki kupitia Yanga

Hilo jini lililomfuata Mayele huko na kumwacha mkurugenzi wa TANSECO pale Ubungo anayekatia watu umeme kila siku ni jini la hovyo sana
 
Mayele anatafuta kiki laiti angejua pale Yanga kapita Papii Shabani Nonda Mkongo DR Kama yeye Wala asinge babaja Ila kwasababu hadi kusaka rizki ni kiki sisi Kama Wananchi wenye timu yao na utamaduni yao tunamtakia Kheri Ila tunamlumbusha tu kuwa karata aliyechagua ni garasa siyo turufu akitafta aibu ipo malangoni pake ataipata mda siyo mrefu

Mkumbusheni kwqmba sisi Yanga ya 2024 hatuna muda kumpa Kiki tuko imara kama JK na siyo PK Wala EL katika ramani ya EA na hatutalipa kiksasi sababu siyo desteri yetu tulimpa ajira Kama waajiriwawengine hivyo yeye siyo special Bali atafute uwanjani Kama waajiriwa wengine ndani na nje ya uwanja sisi Kama Yanga Taasisi hatutazungumzia Mambo personal ya mwajiriwa wetu hadharani tumekuwa kila idara.
Kwani Mayele amewakosea nini nyie gongowazi hadi mnataka kumtoa roho?
 
Back
Top Bottom