Hatari sana[emoji599]...BREAKING NEWS
Mshambuliaji wa klab ya Yanga, Fiston Mayele ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Africa mwezi April tuzo kutoka katika jarida maarufu la michezo Africa #foot_africa.
[emoji1078] Fiston Mayele 29%
[emoji1062] Iliman Ndiaye 28%
[emoji1062] Vicent Abubakar 18%
[emoji1026] Riyad Mahrez 12%
#teamofcitizens
Kwakweli Ligue ya bongo ni hatare Kwa kubrand wachezaji
Kumbe ndo huyu!! Huyu hakufurukuta kabisa mbele ya hao unaowaita makolo!Huyu ndo klayn fiston de Halland Mayele......kiboko ya makoloView attachment 2607285
Mna uhakika hii siyo tuzo ya mshambuliaji anayekosa nafasi nyingi zaidi?[emoji599]...BREAKING NEWS
Mshambuliaji wa klab ya Yanga, Fiston Mayele ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Africa mwezi April tuzo kutoka katika jarida maarufu la michezo Africa #foot_africa.
[emoji1078] Fiston Mayele 29%
[emoji1062] Iliman Ndiaye 28%
[emoji1062] Vicent Abubakar 18%
[emoji1026] Riyad Mahrez 12%
#teamofcitizens
Kwakweli Ligue ya bongo ni hatare Kwa kubrand wachezaji
Safi sana.....Piga haooo wa SA 3_1[emoji599]...BREAKING NEWS