Mayele achaguliwa mchezaji Bora Africa mwezi April

Mayele achaguliwa mchezaji Bora Africa mwezi April

Unaweza Kuta confederation ndo Kuna timu ngumu kuliko champions...ambapo nlikutana na kina vipers na horoya
Na unaamini kabisa huo ujinga wako.Kichaa akiwa jalalani ndio dunia yake.Huwezi kum convince otherwise.
 
Zinapigiwa "kula" na watu.Anachofikiri mjinga ndio kinamchomtokea.
Yaaah mkuu......hizi kura zimepigwa na wananchi so hata kama wangewekwa Messi na mayele...... automatically wananchi wangemchagua mayele regardless of their success in football career
 
Kweli pamoja na kushikiwa akili unawezaje kumlinganisha Mahrez na uchafu.Ni ujinga ulioje na gongowazi wenzake wanamuunga mkono.Ukivimbiwa mihogo mibichi uwezo wa kufikiri unapungua.
Lakini mkiambwia kolo ipo nusu fainali tweeter mna amini! [emoji3061][emoji3061]
 

Attachments

  • 6DFA29B6-64D6-40B4-8C80-3BAF92FD4332.jpeg
    6DFA29B6-64D6-40B4-8C80-3BAF92FD4332.jpeg
    69.7 KB · Views: 1
Back
Top Bottom