Na unaamini kabisa huo ujinga wako.Kichaa akiwa jalalani ndio dunia yake.Huwezi kum convince otherwise.Unaweza Kuta confederation ndo Kuna timu ngumu kuliko champions...ambapo nlikutana na kina vipers na horoya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na unaamini kabisa huo ujinga wako.Kichaa akiwa jalalani ndio dunia yake.Huwezi kum convince otherwise.Unaweza Kuta confederation ndo Kuna timu ngumu kuliko champions...ambapo nlikutana na kina vipers na horoya
Yaaah mkuu......hizi kura zimepigwa na wananchi so hata kama wangewekwa Messi na mayele...... automatically wananchi wangemchagua mayele regardless of their success in football careerZinapigiwa "kula" na watu.Anachofikiri mjinga ndio kinamchomtokea.
Lakini mkiambwia kolo ipo nusu fainali tweeter mna amini! [emoji3061][emoji3061]Kweli pamoja na kushikiwa akili unawezaje kumlinganisha Mahrez na uchafu.Ni ujinga ulioje na gongowazi wenzake wanamuunga mkono.Ukivimbiwa mihogo mibichi uwezo wa kufikiri unapungua.
Mechi ya mwisho Simba ilishinda 2-0, sasa hapo mfungaji atatokaje Yanga? Labda kama alijifunga yote
Hatukumuona tarehe 16 mlipokandwa na kibu deengaaaNa ataendelea kuwabandua[emoji23][emoji23]
Haya tupe tuzo yao tuioneJamaa anajua
Kama haikuw na umuhimu kwanini nabi aliongea lugha 5 kwa wakati mmoja baada ya kukandwa?Ile mechi haikuwa na umuhimu
Ni Mahrez wa Manzese kwa Mfuga MbwaYaani mayele mkali kuliko Mahrez? Ngoja tumshawishi Mahrez aje yanga
Nilizani wa man ctyNi Mahrez wa Manzese kwa Mfuga Mbwa