Akili ya kutofautisha usipokuwa nayo ni tatizo.Palopowashinda makolo ni ligi ya mabingwa Afrika na walipo utopolo ni ligi ya shirikisho Afrika.
Hadi hapo unaona utofauti mkubwa kabisa.
Utopolo walipashindwa ligi ya mabingwa Afrika mapema sana ila makolo wakaendelea hadi zikabaki timu 8 bora Afrika.