Mayele achaguliwa mchezaji Bora Africa mwezi April

Mayele achaguliwa mchezaji Bora Africa mwezi April

Palopowashinda makolo ni ligi ya mabingwa Afrika na walipo utopolo ni ligi ya shirikisho Afrika.

Hadi hapo unaona utofauti mkubwa kabisa.

Utopolo walipashindwa ligi ya mabingwa Afrika mapema sana ila makolo wakaendelea hadi zikabaki timu 8 bora Afrika.
Akili ya kutofautisha usipokuwa nayo ni tatizo.
 
Huyo naye kila siku anachukua tuzo ya gazeti tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari mbaya sana kwa makolo hiii

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Na huyu ndo kibu d mkandaji kiboko ya kinyesi fc.
Screenshot_20230417-132149_Instagram.jpg
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Mimi yanga lakini Timu yetu wenye akili ni wawili tu Mzee KIKWETE na SANDAY MANARA Compyuter.

Sisi wengine woote ni mazuzu.....
Mchezaji hajapata tuzo mnatudanganya.

Mzee wa kutetema Mayele......

Esalie bier....
Kama ww ni mwananchi......jua wewe ni genius
 
Ndio ujinga gongowazi wanataka kujiaminisha.Mrukarukaji asie na namba hata kwenye timu ya Taifa ya Congo DRC.
Mr kolo... kumbuka hizi tuzo znapigiwa kura na watu
 
Kinara pale loser cup,ungesema hvyo.
Kweli pamoja na kushikiwa akili unawezaje kumlinganisha Mahrez na uchafu.Ni ujinga ulioje na gongowazi wenzake wanamuunga mkono.Ukivimbiwa mihogo mibichi uwezo wa kufikiri unapungua.
 
Palopowashinda makolo ni ligi ya mabingwa Afrika na walipo utopolo ni ligi ya shirikisho Afrika.

Hadi hapo unaona utofauti mkubwa kabisa.

Utopolo walipashindwa ligi ya mabingwa Afrika mapema sana ila makolo wakaendelea hadi zikabaki timu 8 bora Afrika.
Unaweza Kuta confederation ndo Kuna timu ngumu kuliko champions...ambapo nlikutana na kina vipers na horoya
 
Back
Top Bottom