Mayele achemsha kwa Waganda, atolewa dakika ya 73, nilisema nje ya Utopolo anaenda kujimaliza

Ila mleta mada kaja kuchangamsha genge tu. Hiyo mechi DRC kashinda 1-0 na siyo sare ya 1-1 kama alivyosema na Mayele kacheza gemu nzima. Hizo ndiyo data nilizonazo mimi.
Alitolewa sub dakika ya 73 akibadilishana na jamaa mmoja anaitwa Kakuta
 
Alitolewa sub dakika ya 73 akibadilishana na jamaa mmoja anaitwa Kakuta
Ooh ok. Kwenye site ya sofascore, sub walizoweka hawakuonyesha kama Mayele alitoka. Wanaonyesha hiyo dkk ya 73 alitoka Bongonda aliyefunga penati ndiyo akaingia huyo Kakuta.
 
Ooh ok. Kwenye site ya sofascore, sub walizoweka hawakuonyesha kama Mayele alitoka. Wanaonyesha hiyo dkk ya 73 alitoka Bongonda aliyefunga penati ndiyo akaingia huyo Kakuta.
Sahihi kabisa, sofascore wameonesha sub 6 tu
Ila Besoccer wameonesha sub 7 na katika hizo Mayele yupo
 
Ball la TZ niujanja ujanja na uchawi
 
mjinga mno wewe
 
Mayele ni mfungaji bora wa CAFCC na overall wa mashindano yote ikiwemo CAFCL ni wa pili !
Hii rekodi haifutiki !
 
Asilimia 90 ya mashabiki wa Simba na yanga ni vichaa
 
Kwahiyo nyinyi mikia Sasa hivi kazi yenu ni kufuatilia wachezaji wa Yanga na kuwapa ushauri
 
Naamini saido pamoja na umri mkubwa ni mzuri kuliko utopolo's mayele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…