Kweli mkuuWengine wanaamua tu kuandika mambo tucheke.
Leo DR Congo walicheza na Uganda na matokeo ni 1 1, beki Inonga Baka na mshambuliaji Fiston Mayele walianza, hata hivyo Mayele ambaye ni mfungaji bora ligi kuu nchini alitolewa katika dakika ya 73 baada ya kushindwa kumudu mchezo.
Mm namshauri arudi Yanga kulinda heshima, timu hizi mchezaji anaonekana mzuri kutokana na mambo ya utamaduni, nje ya hapo hamna lolote.
Huko anakowindwa akifunga mabao 5 nipo humu.
Si waende jukwaa la jokes? hili siyo jukwaa la vichekesho.Wengine wanaamua tu kuandika mambo tucheke.
Kweli kabisa, na hatua ya mwanzo kujua uwezo wao ni kwenye ufasaha wa lugha hasa katika matumizi ya 'l' na 'r'π.Jamii forum ukitaka kujua uwezo wa kufikili wa watu hata hutumii nguvu
Naweka nuktaJamii forum ukitaka kujua uwezo wa kufikili wa watu hata hutumii nguvu
Unaangalia tu maelekezo yaoNaweka nukta
Wee ni muongo sana khaaahMayele ni mfungaji bora wa CAFCC na overall wa mashindano yote ikiwemo CAFCL ni wa pili !
Hii rekodi haifutiki !
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli kabisa, na hatua ya mwanzo kujua uwezo wao ni kwenye ufasaha wa lugha hasa katika matumizi ya 'l' na 'r'[emoji38].
Wee ni muongo sana khaaah
π π πMke mwenzio inonga nae unamshauri nini
Umemuona leo??Leo DR Congo walicheza na Uganda na matokeo ni 1 1, beki Inonga Baka na mshambuliaji Fiston Mayele walianza, hata hivyo Mayele ambaye ni mfungaji bora ligi kuu nchini alitolewa katika dakika ya 73 baada ya kushindwa kumudu mchezo.
Mm namshauri arudi Yanga kulinda heshima, timu hizi mchezaji anaonekana mzuri kutokana na mambo ya utamaduni, nje ya hapo hamna lolote.
Huko anakowindwa akifunga mabao 5 nipo humu.