Mayele achemsha kwa Waganda, atolewa dakika ya 73, nilisema nje ya Utopolo anaenda kujimaliza

Leo DR Congo walicheza na Uganda na matokeo ni 1 1, beki Inonga Baka na mshambuliaji Fiston Mayele walianza, hata hivyo Mayele ambaye ni mfungaji bora ligi kuu nchini alitolewa katika dakika ya 73 baada ya kushindwa kumudu mchezo.

Mm namshauri arudi Yanga kulinda heshima, timu hizi mchezaji anaonekana mzuri kutokana na mambo ya utamaduni, nje ya hapo hamna lolote.

Huko anakowindwa akifunga mabao 5 nipo humu.

Mtu ambaye hujui hata unakula nini saa 9 mchana baadae unapambana na watu ambao wana kila kitu, plus firm, umaskini mzigo.
 
Attachments

  • Screenshot_20230605-192423.jpg
    Screenshot_20230605-192423.jpg
    23.4 KB · Views: 4
Mayele anawakuna vizuri hizo tako zenu maana hamuachi kumtaja mume wenu
 
Uzi huu ni wa mtu ambaye mfano wake ni kama lorry lililowekewa engine ya bajaji. Jitu kubwa akili kisoda
 
Huko kwenu wenye akili bado ni wale wale 2, na duru inavyosomeka wataendelea kuwa hao hao kwa miaka mingine mi ijayo
 
Leo DR Congo walicheza na Uganda na matokeo ni 1 1, beki Inonga Baka na mshambuliaji Fiston Mayele walianza, hata hivyo Mayele ambaye ni mfungaji bora ligi kuu nchini alitolewa katika dakika ya 73 baada ya kushindwa kumudu mchezo.

Mm namshauri arudi Yanga kulinda heshima, timu hizi mchezaji anaonekana mzuri kutokana na mambo ya utamaduni, nje ya hapo hamna lolote.

Huko anakowindwa akifunga mabao 5 nipo humu.
Umemuona leo??
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom