BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Yaani uzi wa mwezi wa 7 una page 1. Sijasoma ulichoandika ila utakuwa ushirikina tu ambao wengi hawauamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha kuharaCrispin Ngushi mshambuliaji hatar wa yanga aliyekuwa akitamba sana enzi zake akiwa Mbeya Kwanza, alikuwa on fire sana jamaa, sababu za yanga kumsajili ni uwezo wake wa kumiliki mpira, nguvu, mashuti na kupachika mabao.
Ngushi aliingia yanga akiwa amemkuta mzee wa kutetema, Fiston Mayele, hivyo benchi likawa linamhusu.Ingawa pia majeruhi yalichangia lakin haiondoi ukweli kuwa Mayele alifunika kabisa nyota za wengi pale Yanga.
Mayele hayupo Yanga, kama anavodai mwenyewe kuwa anapenda hela, ameondoka klabuni hapo na uongozi hauko wazi kusema, badala yake wamesajili wachezaji wa bei rahisi akina Max, Scudu na Gift.
Ngushi akapewa chance kwenye mechi ya kirafiki na Kaizer Chiefs ambayo Yanga ilishinda, Ngushi akaonekana kumudu sana gemu hiyo, alikuwa anautaka mpira, alikuwa na uwezo wa kufanya lolote siku hiyo, piga sana mawe ile juzi, kiufupi yule ndio Ngushi wanaomjua watu.
Kumbe nyota yake alikuwa nayo Mayele bana.Dunia hiiii, we Acha t
Sawa Ngushi tumekuelewa, ila punguza papara unapokuwa na mpira utafika mbali.Crispin Ngushi mshambuliaji hatar wa yanga aliyekuwa akitamba sana enzi zake akiwa Mbeya Kwanza, alikuwa on fire sana jamaa, sababu za yanga kumsajili ni uwezo wake wa kumiliki mpira, nguvu, mashuti na kupachika mabao.
Ngushi aliingia yanga akiwa amemkuta mzee wa kutetema, Fiston Mayele, hivyo benchi likawa linamhusu.Ingawa pia majeruhi yalichangia lakin haiondoi ukweli kuwa Mayele alifunika kabisa nyota za wengi pale Yanga.
Mayele hayupo Yanga, kama anavodai mwenyewe kuwa anapenda hela, ameondoka klabuni hapo na uongozi hauko wazi kusema, badala yake wamesajili wachezaji wa bei rahisi akina Max, Scudu na Gift.
Ngushi akapewa chance kwenye mechi ya kirafiki na Kaizer Chiefs ambayo Yanga ilishinda, Ngushi akaonekana kumudu sana gemu hiyo, alikuwa anautaka mpira, alikuwa na uwezo wa kufanya lolote siku hiyo, piga sana mawe ile juzi, kiufupi yule ndio Ngushi wanaomjua watu.
Kumbe nyota yake alikuwa nayo Mayele bana.Dunia hiiii, we Acha t
Anapewa nafasi anashindwa kutumiaNgushi sasa apewe nafasi