Mayele alikuwa anamroga Crispin Ngushi, bora ameondoka

Yaani uzi wa mwezi wa 7 una page 1. Sijasoma ulichoandika ila utakuwa ushirikina tu ambao wengi hawauamini
 
Crispin Ngushi mshambuliaji hatar wa yanga aliyekuwa akitamba sana enzi zake akiwa Mbeya Kwanza, alikuwa on fire sana jamaa, sababu za yanga kumsajili ni uwezo wake wa kumiliki mpira, nguvu, mashuti na kupachika mabao.

Ngushi aliingia yanga akiwa amemkuta mzee wa kutetema, Fiston Mayele, hivyo benchi likawa linamhusu.Ingawa pia majeruhi yalichangia lakin haiondoi ukweli kuwa Mayele alifunika kabisa nyota za wengi pale Yanga.

Mayele hayupo Yanga, kama anavodai mwenyewe kuwa anapenda hela, ameondoka klabuni hapo na uongozi hauko wazi kusema, badala yake wamesajili wachezaji wa bei rahisi akina Max, Scudu na Gift.

Ngushi akapewa chance kwenye mechi ya kirafiki na Kaizer Chiefs ambayo Yanga ilishinda, Ngushi akaonekana kumudu sana gemu hiyo, alikuwa anautaka mpira, alikuwa na uwezo wa kufanya lolote siku hiyo, piga sana mawe ile juzi, kiufupi yule ndio Ngushi wanaomjua watu.

Kumbe nyota yake alikuwa nayo Mayele bana.Dunia hiiii, we Acha t
acha kuhara
 
Sawa Ngushi tumekuelewa, ila punguza papara unapokuwa na mpira utafika mbali.
 
Waliocheza jana na jamhuri wengi wataachwa dirisha dogo........muda utaongea
 
Alikosa nafasi kadhaa rahisi zaidi kuliko magoli aliyofunga.
Ila ana bidii na kujituma sana
 
Back
Top Bottom