Mayele alikuwa anamroga Crispin Ngushi, bora ameondoka

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Crispin Ngushi mshambuliaji hatar wa yanga aliyekuwa akitamba sana enzi zake akiwa Mbeya Kwanza, alikuwa on fire sana jamaa, sababu za yanga kumsajili ni uwezo wake wa kumiliki mpira, nguvu, mashuti na kupachika mabao.

Ngushi aliingia yanga akiwa amemkuta mzee wa kutetema, Fiston Mayele, hivyo benchi likawa linamhusu.Ingawa pia majeruhi yalichangia lakin haiondoi ukweli kuwa Mayele alifunika kabisa nyota za wengi pale Yanga.

Mayele hayupo Yanga, kama anavodai mwenyewe kuwa anapenda hela, ameondoka klabuni hapo na uongozi hauko wazi kusema, badala yake wamesajili wachezaji wa bei rahisi akina Max, Scudu na Gift.

Ngushi akapewa chance kwenye mechi ya kirafiki na Kaizer Chiefs ambayo Yanga ilishinda, Ngushi akaonekana kumudu sana gemu hiyo, alikuwa anautaka mpira, alikuwa na uwezo wa kufanya lolote siku hiyo, piga sana mawe ile juzi, kiufupi yule ndio Ngushi wanaomjua watu.

Kumbe nyota yake alikuwa nayo Mayele bana.Dunia hiiii, we Acha t
 
Wakongo kwa uchawi ndo wenyewe .

Sumbawanga na kigoma huwa wanachukua elimu kongo.
 
Yanga ni timu ya walozi, waganga na wachawi!!
 
Crispin Ngushi mshambuliaji hatar wa yanga aliyekuwa akitamba sana enzi zake akiwa Mbeya Kwanza, alikuwa on fire sana jamaa, sababu za yanga kumsajili ni uwezo wake wa kumiliki mpira, nguvu, mashuti na kupachika mabao.

Ngushi aliingia yanga akiwa amemkuta mzee wa kutetema, Fiston Mayele, hivyo benchi likawa linamhusu.Ingawa pia majeruhi yalichangia lakin haiondoi ukweli kuwa Mayele alifunika kabisa nyota za wengi pale Yanga.

Mayele hayupo Yanga, kama anavodai mwenyewe kuwa anapenda hela, ameondoka klabuni hapo na uongozi hauko wazi kusema, badala yake wamesajili wachezaji wa bei rahisi akina Max, Scudu na Gift.

Ngushi akapewa chance kwenye mechi ya kirafiki na Kaizer Chiefs ambayo Yanga ilishinda, Ngushi akaonekana kumudu sana gemu hiyo, alikuwa anautaka mpira, alikuwa na uwezo wa kufanya lolote siku hiyo, piga sana mawe ile juzi, kiufupi yule ndio Ngushi wanaomjua watu.

Kumbe nyota yake alikuwa nayo Mayele bana.Dunia hiiii, we Acha t
Mmeshaanza
 
Kazi ya striker no kufunga,JE ALIFUNGA?...ok ana mikimbio mizuri
 
Ni kweli unamtetea Ngushi au umenuna Mayele kusepa?Kwa nini mlikubali kukaa na "wachawi"?😂😂😂
 
Back
Top Bottom