Mayele anafunga mpaka Eid ๐Ÿ˜„

Mayele anafunga mpaka Eid ๐Ÿ˜„

John Gregory

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2019
Posts
1,137
Reaction score
2,147
IMG_20230423_180127.jpg

Fiston Kalala Mayele ni mmoja, The King, GSM- Goal Scoring Machine, Mtambo wa magoli, Jini.Kuna tetesi zinasema eti yule ni Benzema kavaa kinyago cha Mayele, wamemshtukia! ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„.Naishauri timu Ya mabingwa Kusini mwa jangwa la Sahara na Afrika kiujumla, Young Africans wakatae offer ya pauni 500k kutoka Liverpool wakitaka saini yake, kwani bado anahitajika sana Jangwani.

Viva Yanga, Viva Africa.
Daima Mbele, Nyuma mwiko.
 
Timu doroo
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Umeeleweka semajiiiii
 
Hoooooo! Rivers lazima wawakande , sasa wao ndo tumewalisha kande na bado twawangoja home kumenoga.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeeleweka semajiiiii

Mechi ijayo 5 zinawahusu Kwa mkapa
 
View attachment 2597290
Fiston Kalala Mayele ni mmoja, The King, GSM- Goal Scoring Machine, Mtambo wa magoli, Jini.Kuna tetesi zinasema eti yule ni Benzema kavaa kinyago cha Mayele, wamemshtukia! ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„.Naishauri timu Ya mabingwa Kusini mwa jangwa la Sahara na Afrika kiujumla, Young Africans wakatae offer ya pauni 500k kutoka Liverpool wakitaka saini yake, kwani bado anahitajika sana Jangwani.

Viva Yanga, Viva Africa.
Daima Mbele, Nyuma mwiko.
Jini Baleke vipi?
 
Mayele ni balaa zito ni kama Haaland nafasi mbili moja goli!

Hawa Hakimi bin Mbumbumbu fc Leo wamelia sana Yanga kutia mguu nusu fainali Shirikisho Africa mfupa uliowashinda na wao kukubali kuumaliza mwendo huko Wydad watakapokandwa week.

Inajulikana timu bingwa huanzia ugenini Ili kuzuia ila Utoh tumewaudhi sana Zuwena fc kwa kushinda ugenini!

Ni yule yule Mayeeeeeleeeeeeee!! Goaaaaaal!
 
View attachment 2597290
Fiston Kalala Mayele ni mmoja, The King, GSM- Goal Scoring Machine, Mtambo wa magoli, Jini.Kuna tetesi zinasema eti yule ni Benzema kavaa kinyago cha Mayele, wamemshtukia! [emoji1][emoji1][emoji1].Naishauri timu Ya mabingwa Kusini mwa jangwa la Sahara na Afrika kiujumla, Young Africans wakatae offer ya pauni 500k kutoka Liverpool wakitaka saini yake, kwani bado anahitajika sana Jangwani.

Viva Yanga, Viva Africa.
Daima Mbele, Nyuma mwiko.
Huyo Mayele wa kucheza Ulaya yuko wapi? Kwenye timu ya taifa DRC hata bench hakai. Juzi alibahatika kukaa benchi akaingia dakika 5 za mwisho na hakuugusa mpira hadi filimbi ya mwisho. Ndio Mayele wa kununuliwa Europe? Acha utani bhaaaana
 
Back
Top Bottom