John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Fiston Kalala Mayele ni mmoja, The King, GSM- Goal Scoring Machine, Mtambo wa magoli, Jini.Kuna tetesi zinasema eti yule ni Benzema kavaa kinyago cha Mayele, wamemshtukia! ๐๐๐.Naishauri timu Ya mabingwa Kusini mwa jangwa la Sahara na Afrika kiujumla, Young Africans wakatae offer ya pauni 500k kutoka Liverpool wakitaka saini yake, kwani bado anahitajika sana Jangwani.
Viva Yanga, Viva Africa.
Daima Mbele, Nyuma mwiko.