John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Heheeeeeee..Mmekutana na kitoga leo timu imepooza kama bao la mwisho
Heheeeeeee..
Mlianza kusema hivi hivi tangu kwa zalanMmekutana na kitoga leo timu imepooza kama bao la mwisho
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Timu doroo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeeleweka semajiiiii
Jini Baleke vipi?View attachment 2597290
Fiston Kalala Mayele ni mmoja, The King, GSM- Goal Scoring Machine, Mtambo wa magoli, Jini.Kuna tetesi zinasema eti yule ni Benzema kavaa kinyago cha Mayele, wamemshtukia! πππ.Naishauri timu Ya mabingwa Kusini mwa jangwa la Sahara na Afrika kiujumla, Young Africans wakatae offer ya pauni 500k kutoka Liverpool wakitaka saini yake, kwani bado anahitajika sana Jangwani.
Viva Yanga, Viva Africa.
Daima Mbele, Nyuma mwiko.
Huyo ni ka kibwengo πππJini Baleke vipi?
Watu wasidhani panya huwa anapenda kufa kwa sumu , huwa anakufa akiilaani sana njaa kwa kumponza.Mayele ni zaidi ya njaa
Huyo Mayele wa kucheza Ulaya yuko wapi? Kwenye timu ya taifa DRC hata bench hakai. Juzi alibahatika kukaa benchi akaingia dakika 5 za mwisho na hakuugusa mpira hadi filimbi ya mwisho. Ndio Mayele wa kununuliwa Europe? Acha utani bhaaaanaView attachment 2597290
Fiston Kalala Mayele ni mmoja, The King, GSM- Goal Scoring Machine, Mtambo wa magoli, Jini.Kuna tetesi zinasema eti yule ni Benzema kavaa kinyago cha Mayele, wamemshtukia! [emoji1][emoji1][emoji1].Naishauri timu Ya mabingwa Kusini mwa jangwa la Sahara na Afrika kiujumla, Young Africans wakatae offer ya pauni 500k kutoka Liverpool wakitaka saini yake, kwani bado anahitajika sana Jangwani.
Viva Yanga, Viva Africa.
Daima Mbele, Nyuma mwiko.