Mayele asiruhusiwe kuonana na wachezaji wa Yanga huko Egypt

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Nimesoma sehemu kuwa Fiston Mayele atakwenda kwenye Kambi ya Yanga huko Egypt. Kwa ushauri wangu nadhani asiruhusiwe kuonana na wachezaji wa Yanga kwasababu ni dhahiri yupo tayari kuihuju timu.

Natoa sababu zifuatazo

1. Mchezaji huyo kwasasa ana mgogoro na Mashabiki wa Yanga.

2. Hakuna Mchezaji anayependa kuona mafanikio ya klabu aliyotoka na hayo mafanikio yakavuka record yake akiwepo

3. Al Ahly wanaweza kumtuma kwa Pacome , Diara nk kuyajenga mambo.

Nashauri AONANE NAO BAADA YA GAME.


Mayele hana jema kwa Yanga kwasasa na ana bifu zitu moyoni.

Mtanikumbuka
 
Kwa maneno aliyoyatoa kwa viongozi wa yanga haiwezi kutokea mayele akakutana na wachezaji , labda akutane na waliomtuma kuongea aliyoongea.
Nakumbuka yanga ikijiandaa kucheza fainali ya afrika fei Toto alitumiwa kuitoa mchezoni kwa stori zake za sukari , mayele amerudia kitu kilekile kipindi hiki .
Na jambo la kushanganza wote wanasimamiwa na agent mamaaa jamila .
 
Comments reserved
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…