Mayele aushukuru uongozi wa yanga

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875

Mshambuliaji wa @yangasc1935 Fiston Mayele ameushukuru uongozi wa timu hiyo pamoja na benchi la ufundi kwa kumuamini na kumpa nafasi ya kudhihirisha kipaji alichokuwa nacho.

Kinara huyo wa mabao wa Yanga, amesema mafanikio aliyokuwa nayo hivi sasa yanatokana na imani ya pande hizo mbili na siku zote ataendelea kuziheshimu.

“Juzi nimeitwa timu ya taifa ya DR Congo, ni kutokana na kiwango bora nikiwa na timu yangu, naushukuru uongozi, benchi la ufundi na wachezaji wenzangu kwa kunipa ushirikiano",
 
Ndo mchezaji aliyekomaa na professional anasema hivyo.
 
Mayele bonge moja la mchezaji, ni funzo kwa wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…