fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Ni kweli,lakini asonge mbele hayo yamepitaMayele alifunga goli safi ktk mechi na Geita (Mkapa stadium), likakataliwa. Meshi na Mbeya city (Mkapa stadium) alikuwa denied nafasi mbili za wazi kwa uamuzi mbovu wa refa. Leo pia, kilichotokea kinafahamika.
Ni wazi kuwa maamuzi hayo yameathiri matokeo ya timu yake na ya kwake pia. Ameonewa sana
Sasa kama wakwetu wanajiweza waende hata ligi ya Uganda tu au Kenya?Nimegundua Watanzania tuna dhamira finyu sana ya Utaifa Mioyoni mwetu.
Mwaka 2010 Drogba na Rooney walikuwa na Magoli sawa mechi za Mwisho kama leo.
Mnakumbuka Lampard alimfanya nini Drogba na Vyombo vya habari vya Uingereza viliandika nini?
Chelsea inapata penati dhidi ya Wigan Athletic, Drogba anaenda kupiga ili ampiku Rooney, anakuja Mwingereza mwenzake Rooney kwa jina la Lampard anampoka Drogba mpira asipige penati ili asimpite Mwingereza mwenzake.
Thanks Drogba baadae aliscore na kutwaa kiatu.
Thanks kwa Simba we did it for JOHN BOCCO last season.
Kwa hiki ulichoandika unasadifu akili za watanzania wengi wasiothamini vya kwao. Who is Mayele by then broo, acha kuonyesha umburula wako
Bilakufungwa msimu mzima zilikuwa metch ngapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeona clip yake lakini? Analia huku anamfata kibenderaaa, mbavu cna uwiiiiiih.
Analalama huko wachezaji wenzake hawampi ushirikiano, woiiiiiiih.
Sisi tulivyokua tunachukua ndoo, na wafungaji bora tunatoa tena sio m1 ? Ni wengi afu wanafuatana sasa.
Record mliyoweka leo, Simba na Azam zilishafanya hivyo Zaman.
Mpoleeeeeee kasimamisha jiji, katuliza wenge la vumbi la salamander tower. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alitufunga liniMayele amewanyima sana raha wanasimba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lile goli kwenye mchezo wa ngao ya jamii ilifungwa timu ipi??Alitufunga lini
Acha kumshambulia mwenzio kwa mifano ya kipumbavu zingatia alichoandika. Kila Mara mnahamasisha uzalendo hata kwenye michezo inayofanyika wazi na dunia inaona? Nani asiyejua juhudi za mayele uwanjani? Kwa ushauri wako wa kipumbavu kama ni hivyo,andaeni viatu vya ufungaji bora vya wazawa na wageni.Nimegundua Watanzania tuna dhamira finyu sana ya Utaifa Mioyoni mwetu.
Mwaka 2010 Drogba na Rooney walikuwa na Magoli sawa mechi za Mwisho kama leo.
Mnakumbuka Lampard alimfanya nini Drogba na Vyombo vya habari vya Uingereza viliandika nini?
Chelsea inapata penati dhidi ya Wigan Athletic, Drogba anaenda kupiga ili ampiku Rooney, anakuja Mwingereza mwenzake Rooney kwa jina la Lampard anampoka Drogba mpira asipige penati ili asimpite Mwingereza mwenzake.
Thanks Drogba baadae aliscore na kutwaa kiatu.
Thanks kwa Simba we did it for JOHN BOCCO last season.
Kwa hiki ulichoandika unasadifu akili za watanzania wengi wasiothamini vya kwao. Who is Mayele by then broo, acha kuonyesha umburula wako
Hukumbuki eeeehh. Mayele usipomunywa utamuoga.Alitufunga lini
Andiko langu watalielewa watu wenye akili timamu, kwakuwa wewe ni dhahiri kichwa umejaza kamasi kutokana na utapiamlo kamwe huwezi elewa chochote kaaa kimiaAcha kumshambulia mwenzio kwa mifano ya kipumbavu zingatia alichoandika. Kila Mara mnahamasisha uzalendo hata kwenye michezo inayofanyika wazi na dunia inaona? Nani asiyejua juhudi za mayele uwanjani? Kwa ushauri wako wa kipumbavu kama ni hivyo,andaeni viatu vya ufungaji bora vya wazawa na wageni.
Maana wachezaji wageni wanajituma sana na kupaisha ligi yetu kuliko wazawa ambao kazi yao ni majungu,kuroga na viburi. Swaini!!!!
MmmmhAndiko langu watalielewa watu wenye akili timamu, kwakuwa wewe ni dhahiri kichwa umejaza kamasi kutokana na utapiamlo kamwe huwezi elewa chochote kaaa kimia
Utakuwa wewe ndo hujanielewa naona umeamua kujihami na kejeli na matusi. Meza dozi virusi huwa vibaya sanaAndiko langu watalielewa watu wenye akili timamu, kwakuwa wewe ni dhahiri kichwa umejaza kamasi kutokana na utapiamlo kamwe huwezi elewa chochote kaaa kimia
Nendeni mkashitaki CASMayele alifunga goli safi ktk mechi na Geita (Mkapa stadium), likakataliwa. Meshi na Mbeya city (Mkapa stadium) alikuwa denied nafasi mbili za wazi kwa uamuzi mbovu wa refa. Leo pia, kilichotokea kinafahamika.
Ni wazi kuwa maamuzi hayo yameathiri matokeo ya timu yake na ya kwake pia. Ameonewa sana
Inonga alikuwemoLile goli kwenye mchezo wa ngao ya jamii ilifungwa timu ipi??
Kipigoncha Feisal pale Kirumba, Inonga hakuwepo. Kipigi cha Mbeya city na Kagera.....Inonga hakuwepoInonga alikuwemo
Sana yanYanga kwa ujumla wameonewa vya kutosha wacha Manara atukane
Hiyo siku ya fainali tu coast wameshika mara mbili refa anapeta tu
Yanga wamenyimwa magoli kibao tu ati offside...
Anajichukia yeye. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tangu awagegede ngao ya jamii mnamchukia sana
Tulishatwaa mara 4 mfululizo, wala hatuna shida. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndoto ya kila club ni kutwaa ubingwa?
Nani bingwa msimu huu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeni kwa kuteseka. Mayeleee ni Nkane wa kigeni. WoiiiiiihMayele amejua kuwaliza machozi makolo hadi mnahasira naye kama amewamwagia maji ya mchele [emoji23]