[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeona clip yake lakini? Analia huku anamfata kibenderaaa, mbavu cna uwiiiiiih.
Analalama huko wachezaji wenzake hawampi ushirikiano, woiiiiiiih.
Sisi tulivyokua tunachukua ndoo, na wafungaji bora tunatoa tena sio m1 ? Ni wengi afu wanafuatana sasa.
Record mliyoweka leo, Simba na Azam zilishafanya hivyo Zaman.
Mpoleeeeeee kasimamisha jiji, katuliza wenge la vumbi la salamander tower. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]