Mayele kuja Simba, wenye wivu wajinyonge

Mayele kuja Simba, wenye wivu wajinyonge

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
2,044
Reaction score
4,558

Aliyekuwa mchezaji wa Yanga SC, Fiston Mayele ambaye kwa sasa anakipiga na Klabu ya Pyramid ya Misri, leo Aprili 4, 2024 ametembelea kambi ya Klabu ya Simba ambayo kesho inapambana na Al-Ahly ya hukohuko Misri katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya mashindano ya Klabu Bingwa Afrika.
 
Uwezo wake ni mdogo sana hastahili kucheza simba anatakiwa arudi yanga ni average player sana hamna kitu
 
Ndio Makolo mlipoishia kuokota Makombo...hivi hamna watu wa scouting ?
Tunaangalia quality vs quantity, mayele usi mu_underate! Alikua top 3 ya wachezaji bora wa ndani(africa)
 
Uwezo wake ni mdogo sana hastahili kucheza simba anatakiwa arudi yanga ni average player sana hamna kitu
Hapana alipokua anachezea hapakua sahihi, ni top player huyo., mazingira tu na majini ya yanga vilimuharibu
 
Hapana alipokua anachezea hapakua sahihi, ni top player huyo., mazingira tu na majini ya yanga vilimuharibu
Hana uwezo wowote labda kama simba malengo yake ni kurudi nyuma
 
Back
Top Bottom